Mwanamke akikupenda ni balaa

Inawezekana ni kweli, kuna mmoja aliniganda ikabidi nimtambulishe kwa girlfriend feki ili aache kunisumbua. Lakini alikomaa tu akasema hata kuiba poa tu!

oooh! Hongera kwa kuyashinda majaribu.
 
aise mbona taabu hiyo
ukiamua kupenda si upende kweli basi
ya nini kumu-enjoy mtoto wa mwanaume mwenzio
 
Wanajipa moyo, ikifikia tumechoka mpaka sumu wanakunywa hao kwani wana maana. Wanaume wangetujua vizuri wasingecheza na sisi wangetueshimu sana.
 
mimi ninao wengi na wananipenda kinoma..
Basi utakuwa unawahonga sana! Usijisifie kuwa wewe ni Dr. Love eti ndiyo maana unapendwa, halafu wengi bado ni undefined sema wangapi! Jinsi wanavyozidi kuwa wengi ufanisi nao ndiyo unavyopungua kwa baadhi ya hao wengi, upo?
 
Hapo tu ndio guys mnaniboaga... hua mnaona sifa.. anatokea dada wa watu anakupenda haambiwi... But because hujatumia nguvu kumtafuta na kawa wazi kwao basi unamuona kama ana mapungufu... na ukijua tu anakependa kiasi hicho utamueeeendesha... utamsimulia kwa rafikizo... utamsumbua hadi kumwambia aje kwako akufulie huku ukimounesha na kumpa matumaini you feel the same way BUT huku ukimcheka... inasikitisha. Ndio hapo sasa unakuja tumbukia kwa kichaa na kuishia kurusha uzi MMU "Mke wangu hashikiki.. Nisaidieni!!"

Na hilo la kupenda Mungu katujalia hapo... yaweza onekana kama ni udhaifu... lakini ndio maana Wanawake we are more Human than men and More inhuman than men depending na the way umekua affected.
Da Asha humjamsoma vizuri mtoa mada. Yeye amesema kama mwanamke amekupenda hata kama utamwambia kuwa una mtu lakini bado utakuta anang'ang'ania na hii ni kweli (talking from experience). Na huwa inakuwa mbaya sana ukikuta umependwa halafu wewe wala haupo (and this works both ways, japo wanawake huwa inawasumbua zaidi kuliko wanaume). Kwa upande mwingine kwa wale wanaume wanao-take advantage kwa kweli hata mimi siwakubali kabisa na wanachokifanya sio kizuri kabisaaaaaaaaa. Otherwise mwanamke akikupenda halafu ukakuta wewe hujampenda kiviiiiiile huwa inakuwa inaboa saa ingine.
 
Tatizo hatujui umuhimu wa kuwa na mtu aliyekupenda yeye kwanza hatujui kwamba aliyekupenda kwanza ndiye unaweza ishi nae kwa amani kuliko uliyempenda wewe kwanza, atakuwa na jeuri fulani hv
Mtu kama humpendi hii kanuni haifanyi kazi kabisaaaaaaa maana yale makea na mapenzi unakuwa unaona kama kero fulani hivi.
 
Nami nimevutiwa sana na thread. Nilipokuwa chuo kuna msichana nilitokea kumpenda sana ila yeye alinikwepa kwa njia tofauti. Muda mwingi alikuwa kichwani mwangu ikawa nikimpigia simu hapokei na sms hajibu. Yote haya nilikuwa natafuta muda wa kukutana nae nimueleza kuwa nam-love lakini kila mara anadai yuko bize! Nikikutana nae e.g library anadai mimi ndiyo niko bize nikaona anacheza na feeling zangu hivyo nikatafuta namna yakumkwepa coz nilikuwa nikikutana nae naumia. Sasa nauliza kuna namna ya kumpata msichana ambae anakupenda nawe pia unampenda sana tuu?
 
Tunarudi pale pale; mdada ukimtongoza mwanaume subiri kusimangwa sooner or later. Utazimia atakapokwambia 'nilikutaka ulijileta?'

Wanaume wetu hawa wakitakwa inakuwa mazungumzo baada ya habari; have heard lots of guys wanawateta wadada waliowataka hata kama wanaendelea kujisevia. Sijawahi na sitawahi kumtaka mwanaume; Never! Am not that cheap.

Eti love; love my foot.

Mwanamke aso na kasoro anasubiri kutongozwa.

Nakumbuka ujana wangu I always feel like any man anaweza kunitongoza hence nilikuwa nakula pozi za defense au za welcome depending na ninaye mtaka mie.

Why shoud a woman be desparate???
 
Ashadii,ivi wanawake huwa wanaruhusiwa kupenda kwa misimu na baada ya hapo si inaweza kuwa fukunyunyu!
Hapo tu ndio guys mnaniboaga... hua mnaona sifa.. anatokea dada wa watu anakupenda haambiwi... But because hujatumia nguvu kumtafuta na kawa wazi kwao basi unamuona kama ana mapungufu... na ukijua tu anakependa kiasi hicho utamueeeendesha... utamsimulia kwa rafikizo... utamsumbua hadi kumwambia aje kwako akufulie huku ukimounesha na kumpa matumaini you feel the same way BUT huku ukimcheka... inasikitisha. Ndio hapo sasa unakuja tumbukia kwa kichaa na kuishia kurusha uzi MMU "Mke wangu hashikiki.. Nisaidieni!!"

Na hilo la kupenda Mungu katujalia hapo... yaweza onekana kama ni udhaifu... lakini ndio maana Wanawake we are more Human than men and More inhuman than men depending na the way umekua affected.
 
Da Asha humjamsoma vizuri mtoa mada. Yeye amesema kama mwanamke amekupenda hata kama utamwambia kuwa una mtu lakini bado utakuta anang'ang'ania na hii ni kweli (talking from experience). Na huwa inakuwa mbaya sana ukikuta umependwa halafu wewe wala haupo (and this works both ways, japo wanawake huwa inawasumbua zaidi kuliko wanaume). Kwa upande mwingine kwa wale wanaume wanao-take advantage kwa kweli hata mimi siwakubali kabisa na wanachokifanya sio kizuri kabisaaaaaaaaa. Otherwise mwanamke akikupenda halafu ukakuta wewe hujampenda kiviiiiiile huwa inakuwa inaboa saa ingine.

Umesema vyema, inafaa mwanamke afanye hivyo kwa mwanaume mwenye utashi, la sivyo atachakachua tuu. Maana huyu mwanamke anatumia kila kitu alicho nacho kuonyesha kwenye anakupenda. Kuna mdada alinipenda hadi anaweza kukuvulia nguo, au atajifanya aejisahau kumbe anjua kuwa aetegesha unaona kila kitu alicho vaa ndani etc.
 
si wote hila dada hao tunawaita super glue wanakomaa mpaka yu radhi kulia machozi kbsaa yani nawaonea huruma dada zangu...to be honest mwanamke akikupenda unajisikia raha kimbembe ni huwezi katu kumwambia sikutaki ikiwa unajua she is realy loving you...ila nyie hata kama waona wapendwa kweli if you are not interested ni RED CARD na ban juu..

Kweli kabisa, mpige red kadi na tembea nayo mkononi kila siku, akiiona anabadili akili. Hii ni kuto waingiza matatizoni, kama kuchakachuliwa etc.
 
Hapo tu ndio guys mnaniboaga... hua mnaona sifa.. anatokea dada wa watu anakupenda haambiwi... But because hujatumia nguvu kumtafuta na kawa wazi kwao basi unamuona kama ana mapungufu... na ukijua tu anakependa kiasi hicho utamueeeendesha... utamsimulia kwa rafikizo... utamsumbua hadi kumwambia aje kwako akufulie huku ukimounesha na kumpa matumaini you feel the same way BUT huku ukimcheka... inasikitisha. Ndio hapo sasa unakuja tumbukia kwa kichaa na kuishia kurusha uzi MMU "Mke wangu hashikiki.. Nisaidieni!!"

Na hilo la kupenda Mungu katujalia hapo... yaweza onekana kama ni udhaifu... lakini ndio maana Wanawake we are more Human than men and More inhuman than men depending na the way umekua affected.

Hahahaaaaaaaaaa, hapo kwenye red and bolded! dada AshaD umenikumbusha usemi wa rafiki yangu mmoja usemao "In Women's hearts live both the Angel and the Devil" and the ramification of their impacts depend on who gets stronger than the other
 
Tatizo sio kupenda bali ni kuwa king'ang'anizi kwa mtu ambaye anaonyesha dhahiri kuwa hakutaki.
 
Dem akikupenda mwenywe, jua kuna cku atakuacha na kumpenda mwngne.
 
Back
Top Bottom