Mwanamke akiacha kiuno nje ni katembea uchi; je mvulana/wanaume kuvaa mlegezo ni katembea uchi?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
wengi wakikutana na wacchana wakiwa ata nguo ya ndan ikionekana kdogo 2 watasema anatembea uchi bt kwa mvulana akitembea amevaa mlegezo n kawaida y???????????????????
 
Kwani wewe unaonaje? Tofauti yake ni nini? wakipita sokoni ni yupi atapata attention?
 
Wanaovaa mlegezo yaani they are not worth hata kujadiliwa... kwa wadada kuonesha chupi mara nyingi ni kazi cause the way chupi zimetengenezwa ni kazi kuonekana compared na za guys...
 
wengi wakikutana na wacchana wakiwa ata nguo ya ndan ikionekana kdogo 2 watasema anatembea uchi bt kwa mvulana akitembea amevaa mlegezo n kawaida y???????????????????

maswaali ya kijingajinga kama haya kamuulize m***** wako. mwenyewe umeishasema wasichana, sasa unataka kila wakifanya wavulana na wasichana wafanye (and vice vesa)? si ajabu kesho utakuja kuuliza hapa kuwa mbona wavulana hawana visimi, y??????

pambaf kabisa!!
 
Heri wanawake watembee wamevaa vimini ambavyo wakikaa unaona ndani maana wao ni maua kuliko mwanaume anaevaa surauali halafu imeshuka mata'koni robo tatu ya chupi inaonekana mata'kano, nywele kasuka kama mwanamke na heleni bado tu kuvaaa vikuku miguuni, yaani ingekuwa amri yangu wanaume hao wangekuwa wanakamatwa, wanakera kuliko hata CCM
 
Mfumo dume! Na weakness ya wanaume wanaishia kulaumu wanawake!
Wanaume wakitembea vifua wazi; wanawake hatulaumu kuwa wanatutega, ila vice versa ni social crime!
 
maswaali ya kijingajinga kama haya kamuulize m***** wako. mwenyewe umeishasema wasichana, sasa unataka kila wakifanya wavulana na wasichana wafanye (and vice vesa)? si ajabu kesho utakuja kuuliza hapa kuwa mbona wavulana hawana visimi, y??????
pambaf kabisa!!
Physical body make up na mavazi ni vitu viwili tofauti! Topic yake ni relevant sema wewe ndo wale wale, mnaofikiri mwanaume ana haki ya kifanya chochote, na mwanamke afanye kile society inayoongozwa kimfumo dume imruhusu!
 
Heri wanawake watembee wamevaa vimini ambavyo wakikaa unaona ndani maana wao ni maua kuliko mwanaume anaevaa surauali halafu imeshuka mata'koni robo tatu ya chupi inaonekana mata'kano, nywele kasuka kama mwanamke na heleni bado tu kuvaaa vikuku miguuni, yaani ingekuwa amri yangu wanaume hao wangekuwa wanakamatwa, wanakera kuliko hata CCM

Maua kwa nani? Wanawake ni zaidi ya maua! Tuna akili, uwezo utashi na hatuishi kwa ajili ya wanaume!
 
Physical body make up na mavazi ni vitu viwili tofauti! Topic yake ni relevant sema wewe ndo wale wale, mnaofikiri mwanaume ana haki ya kifanya chochote, na mwanamke afanye kile society inayoongozwa kimfumo dume imruhusu!

naona kisimi kinakuwasha sasa!
 
naona kisimi kinakuwasha sasa!

Asante Mkuu; u r a great thinker!
I am not offended coz kisimi ni umbile la mwanamke ambaye pia ni mama yako! Pia kimeumbwa na Mungu, weye huna uwezo hata wa kuumba unywele!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom