Mwanamitindo Fideline Iranga ana shape ya ukweli...

Huyu dada yawezekana ni mchafu, kwa nini avae chupi nyeusi?
Pia yeye ndo source ya picha zake, kama ziko facebook basi hata JF ni sawa tu.
hivi ni nani alimuingiza kwenye umiss na mitindo huyu mama. mbona haiendani kabisa?
yaan ni mweusiiiiiiiii hadi mapaja. hahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1


Weusi kitu gani? Miriam Odemba ni mweupe? Flaviana Matata je? unamjua Alek Wek alivo mweusi na ni super modo duniani.

Tuache kudharau rangi yetu ya kiafrica weupe kitu gani. Si bure wanawake wanajichubua wakikutana na wanaume wanaokandia weusi. I like natural women haijalishi ni mweusiiii au mweupeeeeeee. Yote kaumba muumbaji tusikosoe kuwa weupe ndo uzuri...
 
Tabia mbaya....hivi mnajua mnaweza kua mnamuumiza sana mwenzenu na comment zenu??Kama hakuvutii mpaka umkandie....siupotezee tu!!!:teeth:
 
attachment.php
 
wanawake wazuri wazuri wameolewa..........! wamebaki......wanahangaika.....!
 
Back
Top Bottom