BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,735
- 5,003
mwanafalme wa saudia - shoga - kaua! Mkuu allegations nzito hivi zinahitaji sourcing ya uhakika kuwekwa hapa.
acha uwoga kijana akuna uzito wa "shoga" teeeehteeeh
mwanafalme wa saudia - shoga - kaua! Mkuu allegations nzito hivi zinahitaji sourcing ya uhakika kuwekwa hapa.
mwanaumemwenye tabia za kike kitanzania au kwa kiswahili halisi anaitwa shoga na mwenye kupenda kuwaingilia wanaume kinyume huitwa basha.
Ukienda mombasa neno shoga lina maana moja tu! Na kama wewe ni mwanamke ukasema fulani shoga yangu watakuuliza mara mbili mbili ila kwetu huku especial sehemu za bara shoga hutumika pia kama rafiki wakike.
Ushoga ni tabia ya kizungu zaidi, na ndio kwenye misamiati ya kutosha ya tabia hiyo. Huyo mwarabu kaiga tu kutokana na utandawazi na ulimbukeni kuwa vitu vya kizungu ndiyo maendeleo. Katika misamiati hiyo, gay ni homosexual wa kiume wakati yule wa kike anaitwa lesbian. Gay wapo wa aina tatu, top (anayetia), bottom (anayetiwa) na versatile (anayetia na kutiwa). Katika baadhi ya hizo gay couples si rahisi kujua yupi top, yupi bottom au kama wote ni versatile (wanageuzana kwa zamu). Lakini kuna wengine wanaweka wazi kabisa hadi mmoja kujiita 'mke' na kumtaja mwenzie kama 'mume', na anakuwa na hulka ya kujipamba kike, hapo unakuta ni top na bottom wamekutana. Msishangae mkija kugundua kuwa huyu Prince pengine alikuwa kotekote ndio maana hata kwa mwonekano wao si rahisi kuwahisi kama ni mashoga.
Ni aibu kubwa kwa nyumba ya kifalme, lakini pia ni dalili kuwa ushoga umeweza kujipenyeza hadi kule tulikodhani hakuingiliki, na tusipokuwa makini watajazana hata huku kwetu kupitia umasikini wetu tutalazimishwa kuwatambua na kuwakubali. Tutatishiwa kuwa kama tunapinga ushoga ina maana hatuna utawala bora, kwa hiyo tutanyimwa misaada ya maendeleo. Ona Uganda na Malawi walivyofyata. Dalili mbaya sana.

Mwanafalme wa Saudia - shoga - kaua! Mkuu allegations nzito hivi zinahitaji sourcing ya uhakika kuwekwa hapa.
Narudia hizo ni tabia za kizungu, na ile Sodoma na Gomora ilikuwa hukohuko kwa wazungu ndipo ikaandikwa kwenye Biblia ambacho ni kitabu cha dini ya wazungu. Huku Afrika na kwingineko duniani tabia hiyo haikuwepo kabla ya ukoloni. Chunguza utagundua ndivyo. Ukoloni ndio ulioeneza us*nge Afrika na kwingineko duniani.sio kweli kuwa hizo ni tabia za kizungu zaidi na huyo mwarabu ndio kaiga, hizo ni tabia za almost dunia nzima labda ungesema Wazungu ndio wamekuwa wazi zaidi na hizo tabia hapo ndipo ntakuelewa, hiyo unayosema misamiati ya TOP, Bottom, nk hayo yapo kila lugha je yametoka wapi? Bottom=Shoga/Choko/Msen*e, Top=Basha, Mende na hata ukienda arabuni wanamajina ya hao watu, refer to Sodoma na Gomora,
Habari ya nyuma kwa stori hii pamoja na mwaidha kibao iliwekwa hapa JF kama wiki mbili zilizopita. Fuata link hii utazipata.
https://www.jamiiforums.com/habari-...7-mwarabu-amuua-mtumwa-mwafrika-kikatili.html
Ushoga ni tabia ya kizungu zaidi, na ndio kwenye misamiati ya kutosha ya tabia hiyo. Huyo mwarabu kaiga tu kutokana na utandawazi na ulimbukeni kuwa vitu vya kizungu ndiyo maendeleo. Katika misamiati hiyo, gay ni homosexual wa kiume wakati yule wa kike anaitwa lesbian. Gay wapo wa aina tatu, top (anayetia), bottom (anayetiwa) na versatile (anayetia na kutiwa). Katika baadhi ya hizo gay couples si rahisi kujua yupi top, yupi bottom au kama wote ni versatile (wanageuzana kwa zamu). Lakini kuna wengine wanaweka wazi kabisa hadi mmoja kujiita 'mke' na kumtaja mwenzie kama 'mume', na anakuwa na hulka ya kujipamba kike, hapo unakuta ni top na bottom wamekutana. Msishangae mkija kugundua kuwa huyu Prince pengine alikuwa kotekote ndio maana hata kwa mwonekano wao si rahisi kuwahisi kama ni mashoga.
Ni aibu kubwa kwa nyumba ya kifalme, lakini pia ni dalili kuwa ushoga umeweza kujipenyeza hadi kule tulikodhani hakuingiliki, na tusipokuwa makini watajazana hata huku kwetu kupitia umasikini wetu tutalazimishwa kuwatambua na kuwakubali. Tutatishiwa kuwa kama tunapinga ushoga ina maana hatuna utawala bora, kwa hiyo tutanyimwa misaada ya maendeleo. Ona Uganda na Malawi walivyofyata. Dalili mbaya sana.
Ushoga sio tabia ya kizungu tu,hapana sio kweli
bali ni tabia ya kawaida sana ya nchi za kiarabu,maana mwarabu anaambiwa hawezi kuolewa bila bikira,hivyo basi waarabu wengi hasa wasichana wako radhi kutoa nyuma kuliko kutumia tendo la ndoa wakihofia kutoolewa au kutengwa.Kwa hiyo ushoga imekuwa ni kitu cha kawaida sana katika familia za kiarabu,uliza watu watakwambia..
Nyaralego weldone kuripoti issue na source. Imeniuma sana kumuua mbantu mwenzetu kwa sababu ya umaskini wake