Mwanamfalme wa Saudia amuua mpenzi wake wa kiume UK

Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,067
2,197
Wakuu habari inachekesha sana, mwanafalme wa Saudia ambaye ni shoga amempiga mpaka kumuua "mume" wake huko Uingereza habari inachekesha sana, mlioko huko majuu mnaweza kutueleza zaidi.

article-1321860-0BADC7B0000005DC-394_306x462.jpg

Convicted: Gay killer Saud Abdulaziz bin Nasser al Saud was fuelled on Champagne and 'sex on the beach' cocktails when he attacked his servant
 
Mwanafalme wa Saudia - shoga - kaua! Mkuu allegations nzito hivi zinahitaji sourcing ya uhakika kuwekwa hapa.
 
Wakuu habari inachekesha sana, mwanafalme wa Saudia ambaye ni shoga amempiga mpaka kumuua "mume" wake huko Uingereza habari inachekesha sana, mlioko huko majuu mnaweza kutueleza zaidi.
Saudi prince found guilty of murdering servant in hotel.

A Saudi prince has been found guilty of murdering his servant at a hotel in central London.

Bandera Abdulaziz, 32, was found beaten and strangled in the Landmark Hotel, Marylebone, on 15 February 2010.

The Old Bailey was told the assault by Saud Abdulaziz bin Nasser al Saud had a "sexual element" and he had attacked Mr Abdulaziz many times before.

Al Saud, 34, had admitted manslaughter but denied murdering Mr Abdulaziz. He will be sentenced on Wednesday.

Click HERE for more story
 
Halafu sasa ni nani shoga kati ya aliyeuliwa na aliyeua manake kwa wenzetu bwana neno gay lina utata wa kutumika pande zote like 'gay couple'

Last edited by a moderator:
Wakuu habari inachekesha sana, mwanafalme wa Saudia ambaye ni shoga amempiga mpaka kumuua "mume" wake huko Uingereza habari inachekesha sana, mlioko huko majuu mnaweza kutueleza zaidi.

Haichekeshi mkuu inasikitisha sanaaaaaa
 
Nasikia amefungwa maisha jela alikuwa anaringia Diplomatic yake safi sna Uk ingekuwa africa angepeta tuuu, baba mtu alizimia mahakamani
 
Wakuu habari inachekesha sana, mwanafalme wa Saudia ambaye ni shoga amempiga mpaka kumuua "mume" wake huko Uingereza habari inachekesha sana, mlioko huko majuu mnaweza kutueleza zaidi.

article-1321860-0BADC7B0000005DC-394_306x462.jpg

Convicted: Gay killer Saud Abdulaziz bin Nasser al Saud was fuelled on Champagne and 'sex on the beach' cocktails when he attacked his servant

Inachekesha vipi? Mtu kafa wewe unachekelea!

Amandla.....
 
Halafu sasa ni nani shoga kati ya aliyeuliwa na aliyeua manake kwa wenzetu bwana neno gay lina utata wa kutumika pande zote like 'gay couple'

Mkuu, sisi ndio wenye matatizo. Kwa wenzetu mwanaume yeyote anayetembea na mwanaume mwenzake ni shoga. Kwetu sisi, shoga ni yule ambae anatumiwa na wenzake ( wakina Aunt fulani)na sio wale ambao wanamtumia. Ndio maana huyu Prince anakana kuwa yeye ni shoga kwa maana alikuwa akimtumia mwenzake. Hata kwetu, tuko hivyo. Wanaume wengi wanaona sifa kutembea na wale wanaowaita mashoga bila kujiona nae ni mmoja wao.

Amandla........
 
Last edited by a moderator:
Dah inatia huruma mtoto wa mfalme ana.... Je alikua analiwa au anakula mh dunia imekwisha
 
Mkuu, sisi ndio wenye matatizo. Kwa wenzetu mwanaume yeyote anayetembea na mwanaume mwenzake ni shoga. Kwetu sisi, shoga ni yule ambae anatumiwa na wenzake ( wakina Aunt fulani)na sio wale ambao wanamtumia. Ndio maana huyu Prince anakana kuwa yeye ni shoga kwa maana alikuwa akimtumia mwenzake. Hata kwetu, tuko hivyo. Wanaume wengi wanaona sifa kutembea na wale wanaowaita mashoga bila kujiona nae ni mmoja wao.

Amandla........

Mwanaumemwenye tabia za kike kitanzania au kwa kiswahili halisi anaitwa SHOGA na mwenye kupenda kuwaingilia wanaume kinyume huitwa BASHA.

Ukienda mombasa neno shoga lina maana moja tu! na kama wewe ni mwanamke ukasema fulani shoga yangu watakuuliza mara mbili mbili ila kwetu huku especial sehemu za bara shoga hutumika pia kama rafiki wakike.
 
Hi post ni repeatition, kulikuwa na thread hapa "mwarabu amuua mtumwa wake", kumbe utumwa wenyewe ulikuwa wa ngono!
 
Wakuu habari inachekesha sana, mwanafalme wa Saudia ambaye ni shoga amempiga mpaka kumuua "mume" wake huko Uingereza habari inachekesha sana, mlioko huko majuu mnaweza kutueleza zaidi.

article-1321860-0BADC7B0000005DC-394_306x462.jpg

Convicted: Gay killer Saud Abdulaziz bin Nasser al Saud was fuelled on Champagne and 'sex on the beach' cocktails when he attacked his servant
halafu hawa huja Loliondo na kufanya ukahaba wao wa ki-gay!
 
Ushoga ni tabia ya kizungu zaidi, na ndio kwenye misamiati ya kutosha ya tabia hiyo. Huyo mwarabu kaiga tu kutokana na utandawazi na ulimbukeni kuwa vitu vya kizungu ndiyo maendeleo. Katika misamiati hiyo, gay ni homosexual wa kiume wakati yule wa kike anaitwa lesbian. Gay wapo wa aina tatu, top (anayetia), bottom (anayetiwa) na versatile (anayetia na kutiwa). Katika baadhi ya hizo gay couples si rahisi kujua yupi top, yupi bottom au kama wote ni versatile (wanageuzana kwa zamu). Lakini kuna wengine wanaweka wazi kabisa hadi mmoja kujiita 'mke' na kumtaja mwenzie kama 'mume', na anakuwa na hulka ya kujipamba kike, hapo unakuta ni top na bottom wamekutana. Msishangae mkija kugundua kuwa huyu Prince pengine alikuwa kotekote ndio maana hata kwa mwonekano wao si rahisi kuwahisi kama ni mashoga.

Ni aibu kubwa kwa nyumba ya kifalme, lakini pia ni dalili kuwa ushoga umeweza kujipenyeza hadi kule tulikodhani hakuingiliki, na tusipokuwa makini watajazana hata huku kwetu kupitia umasikini wetu tutalazimishwa kuwatambua na kuwakubali. Tutatishiwa kuwa kama tunapinga ushoga ina maana hatuna utawala bora, kwa hiyo tutanyimwa misaada ya maendeleo. Ona Uganda na Malawi walivyofyata. Dalili mbaya sana.
 
Nyaralego weldone kuripoti issue na source. Imeniuma sana kumuua mbantu mwenzetu kwa sababu ya umaskini wake
 
Naomba kuuliza wakuu. Hivi huyu Prince Saud ndiye aliyetujengea ile hospitali ya Prince Saud Medical Center pale Tabata Bima?
 
Mwanaumemwenye tabia za kike kitanzania au kwa kiswahili halisi anaitwa SHOGA na mwenye kupenda kuwaingilia wanaume kinyume huitwa BASHA.

Ukienda mombasa neno shoga lina maana moja tu! na kama wewe ni mwanamke ukasema fulani shoga yangu watakuuliza mara mbili mbili ila kwetu huku especial sehemu za bara shoga hutumika pia kama rafiki wakike.

Asante kwa ufafanuzi. Lakini kwetu anayelaaniwa zaidi ni huyo anayeitwa shoga na si huyo mwingine wakati kwa wenzetu wote hao wanawekwa katika kundi moja. Tungekuwa na mtizamo kama wa wenzetu, ni wengi tu ambao wangeitwa gay! Na wanaojidanganya kuwa hii tabia ni ya wazungu peke yao wanakataa ukweli. Tabia hii imeenea sana katika jamii yetu, kuanzia kwenye hizo shule za boding, jela na hata kwenye mitaa. Ni sehemu ya jamii yetu.

Amandla.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom