Mwanakijiji Amuumbua makamu wake

Mswahili karibu sana muungwana.......... We missed you!

Mwanakijiji..scores to settle? I dont know!
 
jamani other things for some security reasons can not and should not be spoken out publicly, au hamjui. LOL.
 
hapa tunamuongelea mtu(personal) ama yeye kuwa chachu kwa vijana wa kitanzania ili kuleta maendeleo (mfano wa kuigwa)??

Kama kumuongelea yeye, this is my last post in here !
 
toa ushahidi wako kuwa mwanakijiji ndiye john mashaka; maana kama kuna mtu alitaka kumfanyizia Mwanakjj akaenda kumfanyizia JM kwa sababu ya kuamini upuuzi wako sijui kama utakuja kuomba msamaha.

Wenzako tumeshajua ni nani isipokuwa wewe tu. Tuna mtu wetu hapo NY na leo kapiga kuulizia kama ndiye "yeye".. Siyo kukurupuka tu, kwanini awe yeye na wewe usiwe yeye? kwa hiyo unachosema kuwa

John Mashaka (Mwanakijiji) ndiye
Madela wa Madilu
Koba
Mwafrika wa Kike
n.k

Wakati mwingine sijui una chuki au una mapenzi kwa huyu bwana maana wewe huchangii kitu kingine chochote hapa isipokuwa kila ukiingia ni "mwanakjj". Sasa ndugu yetu Mswahili=Chinga=Kamundu=Mtalii kwanini na wewe usijiseme ni nani au unapenda miye nijitolee kuwaambia wewe ni nani. Nilikuona juzi ofisini kwako nikakudharau kama watu wangejua unayoyaandika humu.

Bosi kasema tukuangalie na miye nimechoka kuangalia. Nadhani wakati umefika wa kukutangaza ni nani ili watu wajue hata hiyo nafasi uliyonayo huistahili.

Mzee wa kijjiji: sikutetei hivyo usianze kupata bichwa.

Asante sana.
 
makubwa haya, madogo yana afadhali
 
Hatimaye ameamua kujitoa kwenye BLOGS mbali mbali kwa ajili ya kampeni za kisiasa, jee ataweza kusaidia Chadema kama mbunge wao?

Hebu tutolee UPUMBAVU wako hapa peleka huko kwenu kikaragosi wewe.
 
makubwa haya, madogo yana afadhali

nshamchoka mimi huyu bibi, mtu ana nafasi kubwa serikalini lakini mambo yake humu yanakera na kukera. Alete ushahidi kuwa John ni Mwanakijiji amasivyo, mimi nitaleta ushahidi kuwa yeye ni nani.

asanteni.
 
"Mswahili" ni bibi? Kama kuna ukweli wowote katika hili, basi sasa naamini dunia ni mviringo.

Na huyu Mwanakijiji mbona anapewa majina yote haya?
 
.......................................
............

Mzee wa kijjiji: sikutetei hivyo usianze kupata bichwa.

......

Miye sisemi. Yangu macho.
Naona Bi. Senti 50 ameanza kulainika kidogo kidogo kwa Mkjj.

Halafu itafuata, 'mie simpendi bali nimemzoea tu...', halafu ..'kwani nikimpenda kosa?....'

Bi. Senti 50, usinisulubu yote ni with a light touch....LOL or at least smile.
 
Mimi yangu macho, malizeni wenyewe. kuna watu wanalipwa kwa kumsema mwanakijiji halafu mnabishana nao leave them alone wapate chochote maana bila kuandika hivyo no pay
 
toa ushahidi wako kuwa mwanakijiji ndiye john mashaka; maana kama kuna mtu alitaka kumfanyizia Mwanakjj akaenda kumfanyizia JM kwa sababu ya kuamini upuuzi wako sijui kama utakuja kuomba msamaha.

Wenzako tumeshajua ni nani isipokuwa wewe tu. Tuna mtu wetu hapo NY na leo kapiga kuulizia kama ndiye "yeye".. Siyo kukurupuka tu, kwanini awe yeye na wewe usiwe yeye? kwa hiyo unachosema kuwa

John Mashaka (Mwanakijiji) ndiye
Madela wa Madilu
Koba
Mwafrika wa Kike
n.k

Wakati mwingine sijui una chuki au una mapenzi kwa huyu bwana maana wewe huchangii kitu kingine chochote hapa isipokuwa kila ukiingia ni "mwanakjj". Sasa ndugu yetu Mswahili=Chinga=Kamundu=Mtalii kwanini na wewe usijiseme ni nani au unapenda miye nijitolee kuwaambia wewe ni nani. Nilikuona juzi ofisini kwako nikakudharau kama watu wangejua unayoyaandika humu.

Bosi kasema tukuangalie na miye nimechoka kuangalia. Nadhani wakati umefika wa kukutangaza ni nani ili watu wajue hata hiyo nafasi uliyonayo huistahili.

Mzee wa kijjiji: sikutetei hivyo usianze kupata bichwa.

Asante sana.

Kama Kweli JOhn Mashaka amefikia kiwango ninachokiona cha Mwanakijiji hii itakuwa sunami.Hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom