Mwanakijiji aibuliwa jambo MICHUZI blog

Status
Not open for further replies.
Mkjj,ukiona watu wanaanza kukushambulia ujue kwamba makombora uliyowatupia have all hit home!Kwanza kudos to you sir kwa kuwa ignore na kutokujibu.Just stick to what you are good at,na waachie wao wa stick to what they are good at!
 
Kwanini wanamhusisha Mwanakijii na Usalama Wa Taifa?ina maana mtu yeyote anyepingana na serikali ni Usalama wa taifa,Kama mie ambaye sipendi safari anazofanya Jk,sababu ni za gharama kubwa..na mie ni Usalama?
Mwanakijiji anaweza akawa kada maarufu wa CCM kama Mimi ila akawa anataka mabadiliko katika sehemu mbalimbali katika Nchi.
Mmemsahau Salva?je ndiko huko Mzee Mwanakijji anakoelekea?
 
Mkumbo umesema sahihi,
Imani kati ya mtu na mtu ni ndogo sana Tanzania. Mimi mwenyewe nimeshangazwa na na post hii. Lakini muhimu kujua, kwa upande wa MKJJ, watu wanasemaje. Ila tuhuma hazina kichwa wala miguu. Tuendelee kukata issues
 
Tatizo letu wabongo CCM imetufikisha mahala ambapo hatuamini kama mtu anaweza akafanya jambo kwa manufaa ya wengine. Kwa hiyo kila kitu kizuri ambacho tunachoona mtu anafanya tunafikiri anataka kitu fulani binafsi. Ndio maana akina mwanakijiji walioamua kufanya mambo kwa ajili ya jamii na sio lazima wao binafsi wafaidi, watatundikwa majina sana tu, lakini go ahead MKJJ, at the end of the day the truth will stand out tall, visibly and clearly.

Long Live Mwanakijiji....2008 lazima wajue kuwa Mungu kawapa sauti wanyonge.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom