Mwanakamati wa kifo cha kanumba aonekana showroom akiulizia primio na raum

Status
Not open for further replies.

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Ndugu zangu nasoma gazeti moja hapa
loh kunamwanakamati mmoja alieshiriki na kuvaa makoti meusi kwenye
mciba wa kanumba ameonekana jana mara ya pili akizunguka zunguka kwenye
show rooms za magari akiulizia primiona raum bei zake

hata hivyo mwandishi ameomba tuwape muda amehakikishiwa anarudi j5 kwenye yard
so baada ya hapo anaweza kuhakikisha kuwa ananua ama alitumwa kuulizia tu
 
Rekebisha heading tafadhali. As it is ni kama kulikuwa na kamati ya kuratibu kifo chake kwa maana ya kumuua!
 
Ndugu zangu nasoma gazeti moja hapa
loh kunamwanakamati mmoja alieshiriki na kuvaa makoti meusi kwenye
mciba wa kanumba ameonekana jana mara ya pili akizunguka zunguka kwenye
show rooms za magari akiulizia primiona raum bei zake

hata hivyo mwandishi ameomba tuwape muda amehakikishiwa anarudi j5 kwenye yard
so baada ya hapo anaweza kuhakikisha kuwa ananua ama alitumwa kuulizia tu
Wabongo kwa majungu, hata wewe ukifa tutaogopa kukuzika kuepuka kashfa.
 
sidhani kama kuna tatizo leo mtu akifiwa kesho akanunua gari... kumbuka kwamba gari sio ndizi, kununua inachukua muda na si ajabu alishapanga hivyo

WATANZANIA TUNA MATATIZO MAKUBWA SANA
 
sidhani kama kuna tatizo leo mtu akifiwa kesho akanunua gari... kumbuka kwamba gari sio ndizi, kununua inachukua muda na si ajabu alishapanga hivyo

WATANZANIA TUNA MATATIZO MAKUBWA SANA

mr. janja, huyu hakufiwa, alikuwa mwana kamati meeeeeen.
 
Tatizo liko wapi hapo? Kwani maisha ya kawaida ya mmwanakamati yanatakiwa yasimame eti kakuwa alisimamia kuandaa mazishi ya Kanumba (RIP)? Kama sikosei habari hii chanzo chake ni kutoka vile vyombo vya habari vinavyoongeza kiwango cha ujinga miongoni mwa wasomaji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom