MwanaJF Huyu ni Kiboko kwa Utani wa kutumia Picha!

Babu Asprin maswali mengine kuhusu huyu asali wangu Rejao uwe unaniuliza mie ndo najua!
Haya bana, ila kiukweli we ni mvumilivu manake huyu Bishanga kuna watu walishamkimbiaga. Shahidi yangu my wife cacico na msiri wake gfsonwin

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Mkuu HYGEIA samahani camera yangu imeisha charge picha nlokupiga wakati unaandika hii thread ntaiweka kesho ntakapokuwa nimeicharge. Hata hivyo, ahsante kwa compliment. Am humbled!

Namwomba Mungu hiyo camera isipate charge maana huo mpicha utakaoufyatua!.Itakuwa balaa!
 
Haya bana, ila kiukweli we ni mvumilivu manake huyu Bishanga kuna watu walishamkimbiaga. Shahidi yangu my wife cacico na msiri wake gfsonwin

attachment.php

dah!
mbona unatoa siri za ndani mkuu?
i hope The secretary hataiona hii asije nikimbia bure (ujue mpaka leo hatujazindua penzi letu tunasubiri matokeo ya vipimo vya hechiaivi vimepelekwa london kwa uzibitisho).
 
Last edited by a moderator:
Hahah na wewe ile yako wakati unasokomezea glass ya bar kwenye handbag yako nitaiweka. Umeacha hiyo tabia ya kuiba glass bar?

hahahahaha, mwambiemwambie huyo, niliwahi kumtembelea kwake, juice kaniwekea kwenye glass imeandikwa Sea cliff, nikasema du, kuchunguza kabatini nilikoma, kuna za white sands, protea, na hz za grants, kilimanjaro, safari, mpaka nyingine nimesahau majina.
 
Huyu anaitwa Asprin au Babu Asprin. Anayo hifadhi kubwa ya picha za aina mbalimbali na anazitumia kumtania mtu pale anapoona inafaa. Mimi ni mmoja wa victim wa utani huo pale nilipojitokeza kwenye jukwaa hili la chitchat kueleza mahusiano yangu na dada mmoja nimpendae sana anayeitwa Erotica. Nilipomaliza maelezo yangu asprin akasema eti pamoja na yote, sijaeleza jinsi erotica anavyodeka. Kisha kaniwekea picha ya 'erotica mdekaji' ambayo ni hii hapa:

View attachment 61168

Nikaicheki picha hii ikabidi nicheke sana nikijua Asprin anapenda sana mzaha.
Utani wa Asprin haukuishia hapo. Akijua kabisa kwamba hanifahamu akaanza kunishangaa kwamba eti nitaendanaje na Erotica kwa kuwa nina resepshen za kiaina. Akatoa sura hii eti ndo mimi!

View attachment 61175
Katika hiyo thread yangu watu walichangia kamailivyo kawaida. Mmojawapo ni King'asti. Mara moja Asprin akamtokea na kumwuliza king'asti alikuwa alikuwa akienda wapi pamoja na rafiki yake@Yummy Asprin akarusha picha ya wadada wawili eti mmojawao ni King'asti na mwingine ni yummy Ione, ni hii

View attachment 61176View attachment 61176 (samahani imetoka dabo)

Ajabu hakusema King'asti au Yummy ni wa kulia au kushoto.

Kinachonistaabisha ni:Hizo picha anazipataje kwa haraka na kwa kuendana na mada iliyo jamvini.
Huyo ni Asprin. Ananikosha si haba!

cool story bro changed my life .....
 
hahahahaha, mwambiemwambie huyo, niliwahi kumtembelea kwake, juice kaniwekea kwenye glass imeandikwa Sea cliff, nikasema du, kuchunguza kabatini nilikoma, kuna za white sands, protea, na hz za grants, kilimanjaro, safari, mpaka nyingine nimesahau majina.

Ah wale Sea Cliff walikuwa washenz,acha niwafanyie usanii,
Protea tulikuwa tunapewa na Mr. Ahmad,
Golden ndo palikuwa poa,mpaka vijiko tulikuwa tunasunda.
Yote tisa Kumi,BeachComber
mpaka mashuka na mataulo,
dah! Jamani nikikumbuka nalia.

Hv na wewe hukumbuki ulivyokuja nyumbani na glass za Belinda Resort? Ulipewa au?
Ha ha ha ha ha
Tufunge ki-mjadala hki bwana Kijino
 
hahaha, we sema 2, ngoja babu Asprin akutundike picha yako, naisubili kwa ham.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom