Mwanajeshi atoa kali ya mwaka.

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Brigadia mmoja aliamua kuwapima wanajeshi waliokuwa chini yake ili kuweza kubaini ni wakakamavu kwa kiasi gani. Siku moja aliamua kuwatembeza wanajeshi hao kwa mwendo wa ukakamavu kwa umbali wa kilomita 30 bila kupumzika sehemu yeyote. Baada ya kilomita 30 aliamuru wanajeshi wote wasimame, wanajeshi walitii amri, baada ya hapo Brigadia alichora mstari mbele yao akawaambia kwamba ambaye hawezi kuendelea na safari asogee hatua mbili mbele kutoka pale alipochora mstari na ambaye ana uwezo wa kuendele na safari abaki pale pale. Wanajeshi wote walisonga mbele hatua mbili mbele, mmoja wa wale wanajeshi akabaki pale pale hakusogea mbele, Brigadia akamuulia je wewe ndio unaweza kuendelea mbele na safari akajibu mimi hata hizo hatua mbili mbele nimeshindwa kusogea kwa jinsi nilivyochoka. Wanajeshi wote ilibidi wacheke.
 
ni hatari kama umeazima mbavu..
 
na baada ya kushndwa kusogea mbele capt john komba ndo kikawa chanzo cha kutimuliwa jeshini, amin usiamini!
 
Brigadia mmoja aliamua kuwapima wanajeshi waliokuwa chini yake ili kuweza kubaini ni wakakamavu kwa kiasi gani. Siku moja aliamua kuwatembeza wanajeshi hao kwa mwendo wa ukakamavu kwa umbali wa kilomita 30 bila kupumzika sehemu yeyote. Baada ya kilomita 30 aliamuru wanajeshi wote wasimame, wanajeshi walitii amri, baada ya hapo Brigadia alichora mstari mbele yao akawaambia kwamba ambaye hawezi kuendelea na safari asogee hatua mbili mbele kutoka pale alipochora mstari na ambaye ana uwezo wa kuendele na safari abaki pale pale. Wanajeshi wote walisonga mbele hatua mbili mbele, mmoja wa wale wanajeshi akabaki pale pale hakusogea mbele, Brigadia akamuulia je wewe ndio unaweza kuendelea mbele na safari akajibu mimi hata hizo hatua mbili mbele nimeshindwa kusogea kwa jinsi nilivyochoka. Wanajeshi wote ilibidi wacheke.
Wajeda wa kibongo michosho hawana hata historia ya kupindua nchi!
 
Back
Top Bottom