'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

Hakuna tatizo, si alisema yuko tayari kufa kwa ajili ya kushabikia siasa. Hicho kifungo ni kidogo sana kwake kama alijiandaa hata kufa.
 
Vipi na wale waliomuua mwangosi?shimbo nae vipi?Wacha aende jela lakini 2015 atakuwa shujaa na wapo wengi wanajeshi wanaoona haya mateso,ipo siku watasema inatosha.Poor CCM

JWTZ siyo watovu wa nidhamu na wajinga kihivyo kama unavyofikilia. Kama hujawahi kuwa jeshini/mwanajeshi, jaribu upate kuijua nidhamu ya jeshi la wananchi watanzania halafu uje tena hapa utuambie habari yake.
 
Hizo ni dalili za mwisho wa udhalimu. Alifanya kosa gani kuwa karibu na mbunge, tena mtetezi na kipenzi cha watu?

MY TAKE: Kutokana na hili utafunguka ukurasa mpya ambao hakuna aliyeutegemea.
 
Umeambiwa leo hunywi chai Lumumba mpaka thread hii iwe na reply 500.

Jamani njaa hizi.
 
Wanabodi.

Mtu aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akiwa amevalia sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela.

Kijana huyo Abubakari Kikulu mbali na kupiga picha hiyo Lema pamoja na Nassari, kijana huyo alionyesha vidole viwili, ambayo ni alama ya Chadema.

Baada ya kukiri kosa hilo Hakimu Mkazi Mfawadhi wa Mahakama ya Mkoa wa Kilimanjaro alimuhukumu kifungo cha miaka minne jela, ili iwe fundisho.

My Take...

Chadema mmesababisha kijana wa watu kaenda jela ni jukumu lenu kuitunza familia yake pamoja na kusomesha watoto wake.

Kuvaa magwanda ya jeshi ni kosa,kununua vyeti na kudanganya jina mpaka kupewa uwaziri siyo kosa,kuteka na kutesa siyo kosa,kuua siyo kosa,kuiba mabilion siyo kosa,kuua tembo siyo kosa,kutorosha wanyama hai sio kosa,ukikamatwa na pembe za ndovu unapewa na ukatibu Mkuu wa chama,haahaahaahaaahaaaahaaaaa,
 
Wanabodi.

Mtu aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akiwa amevalia sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela.

Kijana huyo Abubakari Kikulu mbali na kupiga picha hiyo Lema pamoja na Nassari, kijana huyo alionyesha vidole viwili, ambayo ni alama ya Chadema.

Baada ya kukiri kosa hilo Hakimu Mkazi Mfawadhi wa Mahakama ya Mkoa wa Kilimanjaro alimuhukumu kifungo cha miaka minne jela, ili iwe fundisho.

My Take...

Chadema mmesababisha kijana wa watu kaenda jela ni jukumu lenu kuitunza familia yake pamoja na kusomesha watoto wake.

Ulianza vizuri umemaliza vibaya mkuu. v
 
Tunasubiri siku mafisadi watakapo kuwa wananyongwa...
 
Mnaosema jeshi lenu ninyi ni kina nani? Nani halipi kodi kwa ajili ya JWTZ? Acheni upuuzi wa kuchekelea uonevu na udhalimu.Kupiga picha na kiongozi wa upinzani ni miaka minne then mnatumia siasa kuona hilo ni sahihi kweli? Wanajeshi wangapi wamepiga picha na viongozi wa CCM? Hakika mnaochekelea upumbavu huu iko siku mtawajibika kwani sidhani hata kama angekuwa amekiuka kanuni then,adhabu ya miaka 4 inaendana na uzito wa kosa.

Wanaosema jeshi lao ni watanzania ambao ni walipa kodi.

Kuvaa vazi la JWTZ siyo mchezo. Tuulize ambao tumepitia jeshi.

Huyu hakuwa hata mwanajeshi na tutafahamu vipi kama pia ni mmoja wa wale wanafanya uhalifu wakiwa wamevaa mavazi ya jeshi huku keshi likibeba lawama na kutokuwajibika.

Hata miaka minne aliyopata ni michache sana.
 
Mwanakijiji analipeleka hili suala huko US CONGRESS.lazima aachiwe ama sivo tunawekewa vikwazo vya kiuchumi.
 
Asante kwa taarifa Ritz. Ila sikubaliani na hitimisho lako (your take).

Nadhani ni bayana kuwa kama vile JWTZ isvyohusika na ndivyo CHADEMA nayo isivyohusika na Abuu kufanya alichofanya. We can do without the dirties.
 
Nilikuwa sijui kama nchi hii ina swift justice kiasi hiki!

By the way, mtu kavaa gwanda la JWTZ miaka 4, kina Maranda wa EPA wamepewa miaka 2 kwa kuiba mabilioni! Huo ndio usawa chini ya chama cha kijamaa CCM.
 
Kesi kama hizo hukumu fasta ila zile za wahujumi uchumi da sheria imegonga mwamba.
 
Kesi za kijinga jinga ndo zinaendaga haraka ila za kina Dk Ulimboka hata kwenda kumtambua mtuhumiwa bado

.
Upuuzi huu ndio uliosababisha utawala kufikishwa katika baraza la seneti. Watu wasipotafuta namna ya kujikomboa kutoka katika utawala ambao tayari umeshauawa dhamiri na vitendo vya rushwa, watu wake watappotezwa kimya kimya na kuuawa kama nzi.
.
 
Hizo ni dalili za mwisho wa udhalimu. Alifanya kosa gani kuwa karibu na mbunge, tena mtetezi na kipenzi cha watu?

MY TAKE: Kutokana na hili utafunguka ukurasa mpya ambao hakuna aliyeutegemea.
Udhalimu upi? mnataka kuvunja sheria halafu mchekelewe? ukombozi si kuvunja sheria na kufanya mnayotaka.Mwache akajifunze utii wa sheria.
 
Back
Top Bottom