MwanajamiiOne, Lizzy,Pretta, Kipipi, Neiwa, Badili Tabia, Queenkami, Ruta, GT nk

Heri yangu haunijui jina langu.


Tena we jina ID yako imekaa ki-kwetu zaidigu, (kibosho,old moshi, marangu hivi)sina uhakika sana na kausafiri na bodi

lake ila sura Mungu hajakunyima Lol! Unavopenda kuvaa vitenge sasa! Na tabia yako ya kumlalamikia jamaa eti 'we

mbona unataka sana si tutafute pesa kwanza'? Lol! (only if u are a woman) Ila kama mwanaume unapenda mbege sana na

unakakitambi kanakoletwa na ka-noah
 
mgongo una pingili, waupendea nini.....


Vyenye pingili vingi! Kuna namna tuu huwa mtu ukijiliza kwa tumbo halafu ule mbonyeo unaofuatiwa na mbinuko kisha


mapaja laini source ya joto, lol! lazima nitumie dakika kadhaa hapo na immediately mtu ageuzwe ili kuruhusu shughuli

muhimu. Kwangu kama appetizer hivi! Mikono yangu hufurahia hasa kusurvey that naturality.
 
Updates

gfsonwin Huyu sasa ni mama wa nyumbani. Kwakweli anajiheshimu sana na anawapenda wanae ingawa

wenyewe wakorofi sana. Sema tatizo lake ni mkali mno yaani watoto wanamwogopa na imefikia wakati mpaka mumewe

anamwogopa!

charminglady Ah yaani wewe unataka kutuambia upo charming? Kweli meno yako na vidimpo vinafurahisha

unapocheka, ila mbona unapenda sana kumnunia jamaa hasa anaposhindwa kukutoa out kutokana na majukumu? Halafu punguza

kuangalia movies upate muda wa kutosha wa mawasiliano mazuri na Mr

Bishanga Si tunamjua tena ndugu yetu huyu kwa kujikubali? Ngoja awe sehemu ya starehe halafu warembo

type ya Lizzy na pretta wasogee, mbona atasafisha wallet? Afu utamsikia kachukua

galaxy lake 'Hivi mbona Vog yangu mnaichelewesha bandarini? Kwani Mercedes yangu tayari mlisha clear'? Loh, ila ni mwaminifu na

anapenda kweli!

Erickb52 Huyu anapenda sana vimodel! Sasa wanashindwana matumizi, si kwamba hana hela ila hataki sana

kutumia kwa hawa wa nje! Anampenda sana bibie ile ndo hivyo macho nayo hayatulii


loh, just thinking, how do u think, please dont take it personal

Dah huu utabiri wako ni noma.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom