Taifa letu kwasasa linakumbwa na misukosuko ya kila namna ikiwemo migomo ya waalimu,madaktari,mauaji ya albino,mateso na utekaji watetezi wa haki za watu(Ulimboka na Kubenea),uchomaji moto makanisa znz,na kufungiwa magazeti(Mwanahalisi)!! Mambo yote haya ni hatari sana kwa mustakabali wa nchi yetu na maisha ya watu wake. Dalili zote zinaonyesha kushindwa kwa mfumo na ukomo wa kufikiri kwa viongozi wetu waliopo serikalini na ktk chama tawala CCM! Wasipokiri kushindwa basi wakti utawatoa hakika! I can't wait to see it happen 2015!!!!
Uko wapi Cacico!? Come this way kama utakuwa bado hujapigwa BAN for calling me the most stupid ever!?
Hii nchi hovyo kweli, alienda hata kumwona hospital!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.