MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

Status
Not open for further replies.
Haya haya haya tia maji!tia maji!mambo hadharani dhaifu na serekali yake hawachomoki hili sooo!
 
Wewe ni Mr Bean, hapa wenye akili wanaunganisha dotsn mpaka kipatikane kitu kizima, Zoka saa hii ana tumbo la hiari, the cloud will be over soon na kila kitu hadharani, shame upon him and people of his ilk, Jack Zoka you will never live for ever neither will the status quo that you purport to protect with such evil acts on your fellow citizens! the writting is on the wall. Msaidieni dhaifu afanye kazi ipasavyo badala ya kuwaangamiza wanothubutu kutamka kwamba "mfalme yuko uchi"! mnalea tatizo ambalo litaendelea kukomaa na hatimaye kusababisha matokeo mabaya zaidi. Symptoms zimeshabainika sasa ni wakati wa kutoa dawa na kunurse mgonjwa sio kutafuta visingizio tena Zoka, "Mficha maradhi kilio humfichua" Jk Nyerere. zoka utaua wangapi, watanzania hawaogopi tena, kukisha kucha huwezi tena kuendelea kuvuta blanketi Zoka. wake up, Zama hizo zimepitwa na wakati. hizo ni mbinu ziliasisiwa na wasovieti hata wao wameshaziacha hizo.
Acha kulialia wewe, huna tofauti na wanacdm wenzako, kurudia maneno hovyo tu.
 
Hivi wana JF wenzangu, ...Misingi ile imara ya TISS ilivurugwa lini? nani alivuruga? Je Tunaweza kurejea misingi ile yenye uzalendo uliotukuka kwa nchi yetu? Kuna influence za nchi za magharibi?... Mfumo wa TISS baada ya VYAMA VINGI ukoje? Hapa nalazimika kumkumbuka Mkuu Mwnkjj ktk moja ya makala zake aliwahi kuwaambia vyombo ya ulinzi ikiwemo TISS wajiandae kupokea mabadiliko ya kiutawala... Huu ni wakati muafaka sasa kwa TISS na Organs nyinginezo zifanyekazi zake kwa maslahi mapana ya nchi na si kikundu cha watu wachache. Viongozi wa kisiasa waambiwe ukweli bila woga... otherwise tujiandae kuwa na misiba mingi mfululizo vya kulipiziana visasi...
 
halafu inawezkana hawa mwanahalisi wametumia zaidi ile taarifa ya yule member aliyezungumzia mambo ya mwamvuli...hahaha
 
Hebu nionyeshe mtanzania alie amka? Bado sana, tuna muda mwingi wa kuwatawala nyie.

Kilaza bana daaah .....yaani wewe ni hiyo elfu mbili tu ndio unauza utu wako namna hii?.....nimesikitika asee .....sikutegemea kumbe kuna wajinga namna hii!......kweli aliyesema pesa mwanaharamu wala hakukosea.....nna uhakika unatoka familia duni sana wewe ila huoni kama unatakiwa kujikomboa vile una uhakika wa sh elfu 2 kwa siku!
 
watu makini tulitegemea mtazamo huo kutoka mwanahalisi.
Of course, si vyombo vyote vya habari vinaweza kuthubutu kuandika mambo kama haya. Mkuu, be positive, Mwanahalisi wamefanya kazi nzuri ya kuchangia katika kuufichua ukweli na hatimaye ukweli utaonekana. Magazeti ya jinsi hii ni muhimu sana katika jamii.
 
ametajwa jembe kubenea lkn habari imeandikwa na jabir idrisa. pili mwandishi kachezea ktk habari mtumba zilizopo. hana jipya alilotupa kama ushahidi mpya!

hovyo!!!!!!!!!!!!!!!!! pu***f zenu! nimepoteza muda kusoma thread kumbe utumbo mtupu!
 
Nasikia harufu mbaya ya amani kupaganyika humu nchini. Sereikali ya mMagamba to bear the burden.
 
MADAI HAYA KAMA NI YA KWELI BASI JACK ZOKA PAMOJA NA MASWAHIBA WAKE WATENGWE KABISA NA JAMII YA TANZANIA WAPENDA AMANI NA MABADILIKO KWA NJIA YA KIDEMOKRASIA NI LAZIMA

...mradi huu mzima kama ni wa Jack Zoka binafsi basi ni mradi wa Kabwe Zitto. Na kama ni mradi wa Kabwe Zitto basi ni Jakaya Mrisho Kikwete huku akiwa hachezi mbali Hamad Rashid kama kawaida yake.

Hatua ya kwanza; kanisa litafute kumtenga mara moja Ndu Jack Zoka katika ibada na huduma zozote za kanisa.

Kwa upande mwingine, walalahoi wote Tanzania wanaotafutwa kuhujumiwa matumaini ya kukombolewa kuondokana na CCM UFISADI, kazi ni juu yetu tangu sasa kuwalinda viongozi wetu wenyewe CHADEMA.

Pamoja na yote, ni vema ikuabainika kwa wachache wanaoelewa kwamba hivi sasa jicho lote la dunia lipo Tanzania na kwamba jicho hilo liko makini kuliko.

Kwa walalahoi wa nchi hii ujumbe ni kwamba YOU WILL NEVER WALK ALONE!!!

napata wakati mgumu kukuelewa
 
Yale yale ya jana, juzi na leo, hakuna jipya hata moja hapo . Sana sana habari imepinduliwa tu kichwa chini miguu juu then yaitwa ushahidi, craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap !

Watu wote wasio na hofu ya Mungu Kama wewe ndio wenye kujisikia raha/fahari kuwateka watu wasio na hatia kuwatesa ama kuwaua,kwa kufurahia vipande vya pesa toka kwa wanaowatuma.Wewe u-mmoja wao kwa kuungana na hao waliomfanyia unyama Dkt Ulimboka kwa kuendelea kuipinga habari hii na kuiita ****,na ukizingatia unayo macho masikio akili lkn vyote hivyo umevitumia vibaya hakika utalipwa kutokana na kile unafanya.
 
Swali la kujiuliza huyo zoka anafuata amri ya nani? Mnajua hawezi tu kuamka na kufanya hayo mambo mpaka apewe agizo/sharti kutoka juu yake. So whos the main boss kwenye mipango yote ya kuua kutisha na kutengeneza ajali? Saivi mkiwa bar/pub msiache vinywaji venu wakati mnaenda toilet hata kama uko na rafiki/ndugu kila mtu ana shida ya hela saivi. U cant trust anyone.
 
Mtoa maagizo anafahamika LIWALO NA LIWE
 
ametajwa jembe kubenea lkn habari imeandikwa na jabir idrisa. pili mwandishi kachezea ktk habari mtumba zilizopo. hana jipya alilotupa kama ushahidi mpya!

hovyo!!!!!!!!!!!!!!!!! pu***f zenu! nimepoteza muda kusoma thread kumbe utumbo mtupu!

akili ni nywele wengine wana nywele ndefu wengine kipilipili na wala akili azifanani hata kama mmezaliwa mapacha. pole sana ungekuja hapa hosptl ningekurifaa dodoma kwa wenzio milembe
 
Status
Not open for further replies.
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom