MwanaHalisi: Nini Kinaendelea

Majoja

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
612
186
Gazeti hili liliokuwa linasifika sana kwa kutoa "sure" za mambo yanayoendelea kisiasa nchini limeshakuwa a town rag.
Wakuu msijisumbue kununua uozo wa gazeti hili ambalo tayari habari zake zimekwisha lipiwa kwa muda mrefu ujao.
Mwanahalisi na Dira kwa sasa ngoma droo.
Nasikitika kutoa shilingi mia tano yangu wiki hii na kukuta habari ambazo hazijulikani aliye andika na habari zenyewe ni za unafiki.
Kweli tindikali na fwedha vimefanya kazi yake.
 
Hakuna kilichopo duniani kinachopendwa na kila mtu.......Hivyo sikushangai....... Hakuna jipya hapo.....ANYWAY UNGEWEKA HIZO HABARI UNAZOZIITA ZA KINAFIKI............ MwanaHalisi litabaki kuwa gazeti bora kwa wasema kweli wa TZ......... NYIE WENGINE BAKINI MKISOMA HAYO MAGAZETI YA ...... ndiyo mzee.........
 
Majoja,,kuonyesha unazumgumza kitu kuhusu gazeti hilo ilifaa uweke hapa habari iliyomo/zilizomo zinazooonyesha kweli tindikali na fedha imegeuza umahiri wa waandishi wa mwanahalisi, hapa imebaki kuwa bla bla tu mkuu hasa kwa ambao hawawezi kupata/hawajasoma nakala ya gazeti hilo
 
Jenga hoja yako vizuri, kwani gazeti hili linasifika kwa habari na makala motomoto juu ya mustakabali wa taifa letu. Bila kuonyesha unafiki huo utaonekana hapa JF hapakufai.
 
Ndugu zangu msihangaike na huyu jamaa, anawapotezea muda wenu.
Achana naye huyu.
AMETUMWA.
 
Kwani mzee kama huna TOPIC ya kuandika lazima uandike?tulizana soma topic za wenzako, bora mjinga kukaa kimya kuliko mwelevu anaeongea pumba
 
nmeona nakala ya leo, ila sijaona chochote cha kumfanya mtoa post atokwe na povu. labda ile habari ya kubenea na uongo wa sitta!
 
Yaani huyu jamaa kwa ukilaza alionao anaamua kukandamiza chombo cha habari kupitia mgongo wa great thinkers? Sishangai atakapotukanwa kuwa hayo ni mawazo kupitia masaburi.... Jana tuliambiwa kuwa leo gazeti litatoka na habari za kumchafua rais na familia yake tusilinunue, leo anang'ang'ania tusinunue utafikiri tunatumia hela zake. Tena hapo ndio sawa na umempiga teke chura kwani naenda kulinunua ili kuona kama unayoyasema ni kweli au la.
 
Asante wakuu!
Nimewasoma vizuri.
Magazeti ambayo sinunui kwa pesa yangu yanaongezeka kwa kasi-kutokana na kukosa viwango.
Nilipokuwa mwanafunzi pale Mlimani nilikuwa Punch mzuri tu.
Unabandiko andiko lako na kusepa, bila kujua athari zake baadaye-uhuru wa woga.
Leo Mwanahalisi ukurasa wa mbele habari ya Sita haina mwandishi, hata ile ya ndani-uandishi wa woga huo.
Wakuu magreat thinker kama mnaona hilo ni sawa basi hata Ugreat thinker wenu unashuka viwango kwa kasi.
 
JK kwa ku robi anaongoza, siunaona anavyopata ma phd tu mpaka aibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom