The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
Mtoa mada unaonekana kutojua "cost and benefit analysis" linapokuja swala la maslahi ya taifa. Wakati watu wanaingia vitani kutafuta uhuru huwa wanajua kuna damu itamwagika lakini, uhuru unakuwa na thamani zaidi. Ungekuwa na akili japo kidogo ungegundua kwamba kwa matendo ya ubinafsi yanayofanywa na wanasiasa wa hapa nchini, right to privacy si mali ukilinganisha na hasara zinazotokana na kuachiwa wafanye usaliti wanaofanya kwa kudhani haki ya faragha ni muhimu.
Anyway usikose raha kwa kuwa hauko peke yako. Andrew Chenge ni kipanga na anazo shahada mbili za sheria lakini sikiliza ujinga anaotenda na utetezi wake anapopata nafasi ya kujitetea. You guys are so magamba that unatuchefua tunaojaribu kutafakari tutaliokoa vipi taifa letu dhidi ya wajinga wa aina yenu.