Elections 2010 Mwanahalisi: Makamba amtumia Mahimbo kukamilisha 'mradi' dhidi ya Slaa

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234

Wana-JF:

Nimeona ni vyema niwawekeeni hii sehemu ya mwisho ya stori katika Mwanahalisi la leo kuhusu sakata la Dr Slaa, Mahimbo, na Josephine. Ningekuwa na muda ningeweza kui-key in yote, lakini sehemu hii kidogo inadokeza mwanga wa kile kilichotokea nyuma ya mapazia. Asanteni.

………..Kwa mujibu wa mtoa taarifa wa gazeti hili, Mahimbo ametafutwa na CCm kwa udi na uvumba kwa maelekezo ka Katibu Mkuu Yusuf Makamba, ili kukamilisha “mradi” wao dhidi ya Dr Slaa.

“Mengine sasa utafute mwenyewe na kuthibitisha; lakini naambiwa kuwa CCM wamemtafuta, kumpa gari, kumkodishia hoteli na mumhkakikishia kulipa gharama za wakili, ilimradi ijulikane amempeleka Dk Slaa mahakamani,” kimeeleza chanzo chetu.Mwandishi huyu aliwasiliana na Mahimbo kupata maelezo ya upande wake na yafuatayo ni sehemu ya majadiliano kati yao.

Mwandishi: Tuna taarifa kwamba ulikutana na Yusuf Makamba wiki iliyopita na akaupa maelekezo juu ya haya unayofanya.

Mahimbo: Hayo mambo siyajui.

Mwandishi: Mbona kuna madai kuwa ulitengana na mkeo miaka mitatu iliyopita; kwa nini unaibuka leo?

Mahimbo: Hayo muulizeni yeye.

Mwandishi: Makamba amekupa gari na amegharamia ukae hotelini…

Mahimbo: Sijui…(akata simu)

Naye Josephine ambaye anakata mbuga na “wapambanaji” wa Chadema alipoulizwa juu ya sakata hilo amesema: “najua kinachoendelea. Haya yote yameibuliwa na wapinzani wa kisiasa wa Dk Slaa. Nawafahamu hata kwa majina.”

Josephine anakiri kuwa alikuwa ameoana na Mahimbo lakini hawako pamoja kwa miaka mitatu sasa.

Amesema kwa ufupi, kwa njia ya simu kutoka Singida, kuwa kama wewe ni mwanamme na unakaa miaka mitatu bila kumuona mkeo, na katika kipindi chote hicho huchukui hatua, “basi wewe una matatizo.”

Juhudi za kumpata Makamba kujibu maswali kadhaa hazikufanuikiwa. Alikuwa aulizwe iwapo ni yeye anayesimamia “mradi wa ‘kuchafua’ Dk Slaa.”

Alikuwa aulizwe pia juu ya tuhuma kuwa ni kupitia kwake, gazeti moja lilipata fedha za kuchapisha toleo moja lenye taarifa zinazohusu Dr Slaa na kugawiwa bure.

Swali jingine lililolenga Makamba lilihusu wafadhili wengine wa mradi huu ambako taarifa zinamtaja Rostam Aziz na Abdulrahman Kinana, mwenyekiti wa Kampeni ya mgombea wa CCM.

Si Rostam wala Kinana aliyepatikana kuzungumzia ushirika wao.

Hata hivyo, MwanaHalisi linaweza kuthibitisha kuwa mmoja wa wahariri wa gazeti lililochapisha tuhuma dhidi Dk Slaa, alikutana na Makamba, makao makuu madogo ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam siku mbili kabla ya gazeti kuchapishwa.

Taarifa zinasema miongoni mwa makubaliano kati ya mhariri na Makamba, ni kugharamia uchapishaji na baadhi ya gharama za uendeshaji wa gazeti.

Hivi huyu Mahimbo ni yule anatefanya kazi bandarini au ni mahimbo mwingine???

Kama ni yule wa Bandarini basi walishatengana na mkewe muda mrefu ugomvi mkubwa ulikuwa ni Mahimbo kuwa na wanawake wengi na ulevi uliopitiliza maana akipokea mshahara tu haonekani nyumbani hadi ziishe ndio anarudisha sura home
 
Ni bora hayo yote mkasemee mahakamani ,kwa hapa JF mtafulia tu !!! Nakumbuka ile hadithi ya Mbutolwe mwana wa umma , CCM wametoa ulinzi kwa jamaa maana kuna tetesi Chadema wanataka kumuua Mahimbo.
 
Ni Mahimbo huyohuyo wa Bandari!! Sisi tunamfahamu sana na asubiri mahakamani aone madudu yatakayofunuliwa dhidi yake. Huwa anasahau Jinsi Angelina alivyotumiwa na CCM dhidsi ya Mrema enzi zile na jinsi CCM walivyomtupa baada ya uchaguzi kiasi cha kuamua kwenda IKULU na kumvulia kikwete nguo na kubaki uchi wa mnyama na kuambulia kifungo.

Hivi huyu Mahimbo ni yule anatefanya kazi bandarini au ni mahimbo mwingine???

Kama ni yule wa Bandarini basi walishatengana na mkewe muda mrefu ugomvi mkubwa ulikuwa ni Mahimbo kuwa na wanawake wengi na ulevi uliopitiliza maana akipokea mshahara tu haonekani nyumbani hadi ziishe ndio anarudisha sura home
 
CHADEMA ikishachukua madaraka itahakikisha kuwa Mafisadi wooote waliohusika kudidimiza uchumi wa nchi wanachukuliwa hatua sawia
pia ktk ilani yao watahakikisha kwamba KATIBA mpya itapatikana baada ya kutumia hii yenye viraka kwa kitambo sasa
 
Huyu jamaa kumbe alikuwa hahudumii ndoa yake sasa anatafuta nini? :confused2:
 
Hivi huyu Mahimbo ni yule anatefanya kazi bandarini au ni mahimbo mwingine???

Kama ni yule wa Bandarini basi walishatengana na mkewe muda mrefu ugomvi mkubwa ulikuwa ni Mahimbo kuwa na wanawake wengi na ulevi uliopitiliza maana akipokea mshahara tu haonekani nyumbani hadi ziishe ndio anarudisha sura home
anaimba kwaya ya lutheran kijitonyama.... chapombe frani!!
 
Ni Mahimbo huyohuyo wa Bandari!! Sisi tunamfahamu sana na asubiri mahakamani aone madudu yatakayofunuliwa dhidi yake. Huwa anasahau Jinsi Angelina alivyotumiwa na CCM dhidsi ya Mrema enzi zile na jinsi CCM walivyomtupa baada ya uchaguzi kiasi cha kuamua kwenda IKULU na kumvulia kikwete nguo na kubaki uchi wa mnyama na kuambulia kifungo.

ndio huyuyu maskini na njaa zake ataona aibu itakayoibuka mahakamani asubiri kesi iendelee aone mabinti watakaokuja kudai haki zao
 
Hivi huyu Mahimbo ni yule anatefanya kazi bandarini au ni mahimbo mwingine???

Kama ni yule wa Bandarini basi walishatengana na mkewe muda mrefu ugomvi mkubwa ulikuwa ni Mahimbo kuwa na wanawake wengi na ulevi uliopitiliza maana akipokea mshahara tu haonekani nyumbani hadi ziishe ndio anarudisha sura home

Kaka huyu ni yulel yule Mahimbo anayefanya kazi bandarini ambye tabia yake ni sawa na viongozi wengi wa CCM, hana jipya anatumiw na hao hao kina Mkamba, JK na Msekwa.
 
Kama M-Sisi M, Nnape Nauye anatambua kuwa suala hili ni Siasa za Maji Taka na anashangaa kwa kuandika kwenye Ukurasa wake wa FB hivi:

"aaaakh! siasa hizi na ajenda binafsi za private life tutafika???! Are these what Tanzanians are interested to discuss?"

Perceived ThinkTank person anashindwaje kutofautisha ukweli na ushabeki?!
 
Hivi huyu Mahimbo ni yule anayefanya kazi bandarini au ni mahimbo mwingine???

Kama ni yule wa Bandarini basi walishatengana na mkewe muda mrefu ugomvi mkubwa ulikuwa ni Mahimbo kuwa na wanawake wengi na ulevi uliopitiliza maana akipokea mshahara tu haonekani nyumbani hadi ziishe ndio anarudisha sura home

Ni huyo huyo - Mlevi na Mzinzi aliyetukuka : Waliachana na Mkewe Miaka zaidi ya Miwili sasa, naona NJAA inamuuma na amekuja KUDAI Mke!
 
Hivi huyu Mahimbo ni yule anatefanya kazi bandarini au ni mahimbo mwingine???

Kama ni yule wa Bandarini basi walishatengana na mkewe muda mrefu ugomvi mkubwa ulikuwa ni Mahimbo kuwa na wanawake wengi na ulevi uliopitiliza maana akipokea mshahara tu haonekani nyumbani hadi ziishe ndio anarudisha sura home
Unaweza kutupa zaidi Mkuu?
 
SISIEM Kwa Majitaka?
Bashe - Siyo Raia
Masauni - Kaghushi Umri
Kifukwe - Anaongozea Yanga Bar
Salim - Mwarabu ana Ndugu Jeshini Ughaibuni
Atakayemping JK - Atakufa Ghafla Sheikh Yahya
Mangula....
Iddi Simba....
malizia
 
hayo ndiyo majitaka mzee... usisahau sumaye alikua na trilioni kumi nje, mrema alikua na angelina, lipumba liakua hajaoa, nk

tusishangae maana yanaanzia UWT - sofia simba na yule mama mwenye busara
UVCCM mambo ya chifupa, nchimbi, bashe, nk

hiyo ndio kalcha "yetu"
 
mahimbo baada ya uchaguzi kazi huna , utakoma kulinga huijui CCM
 
hawa akina makamba bwana wanataka kutubabaisha sana hapa nchini.................hivi kina makamba ni kina nani hasa mpaka watake kuabudiwa kiasi hicho?...yaa tumefikia mahali akina makamba wanaweza kuisema huyu sio raia na watz tukakaa kimya kiasi hiki........? kwa nini lakini? yooote haya na mengine yajayo km hayo tutaendelea kuyabariki mpaka lini...................vyombo husika vinavyohusika na uraia vinasema yule ni raia lakini mjinga mmoja anasema sio raia watz tumenyamaza....LO....WA2 WA NAMNA YA MAKAMBA HAWASTAHILI KUWEPO KWENYE JAMII KWANI WANAMWAGA SUMU AMBAYO INAATHILI UBONGO NA MAAMUZI YA WATZ WENGI AMBAO HAWANA UFAHAMU NA MAMBO HAYO.........
 
Mwanaume suruali huyu vipi, miaka 3 ndio linakurupuka leo baada ya kuingizwa mtegoni na CCM, CCM hawatakulinda na kukuweka hotelini siku zote za maisha yako soon wakimaliza kukutumia watakuacha na kwenye makabrasha yao wewe unasomeka kama expendable.
Utakufa kifo kibaya!
 
ccm inafikiri tanzania ya leo ni ya kipindi cha wakati wa kutafuta uhuru ambapo watu wengi walikuwa hawajaenda shule, na uwezo wa usambazaji na uzuiaji habari ulikuwa ni mkubwa.

Kipindi hicho unaweza kuzuia nini wananchi wanachoweza kusikia au wasichoweza kusikia.

CCM wanatakiwa kuelewa Tanzania ya leo sio ya mwaka wa arobaini. People can critical analyze, hata akiwa kijijini kuna simu zipo watu wanaweza kuwasiliana toka town na kupashana habari pia kuelimishana,

Wasitake kufanya hii nchi ni mradi wa watu wachache wenye akili za kuku wanaotaka kutawala akili za watu wenye uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo.

HII NI DALILI TOSHA KUWA VITA YA HOJA ZA MSINGI CCM IMESHASHINDWA.

HATA SHETANI AKISHINDWA KUKUANGUSHA KWENYE DHAMBI KWA KUTUMIA MBINU ZAKE ATAANZA KUTUMIA RAFIKI ZAKO AU WATU WENGINE
 
makamba kuna siku atakuja kuulipa muda huu ambao watz wanaacha kujadili masuala ya muhimu wanajadili upumbavu wake..............
 
Back
Top Bottom