Mwanahalisi kumtusi na kumkejeli Rais, je ni haki?

" KIKWETE KIGEUGEU"

Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais ,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani

Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku
na hili ni tatizo mtu akiongea ukweli huonekana katukana, kwani wewe hujui kuwa raisi ni kigeu geu????
ubora wa rasi KIKWETE umezidiwa na ule wa kandambili za maliwatoni......
maana zina umuhimu mkubwa sana mimi kwangu hunikinga na
kulikanyaga tope la maji taka nisipatwe na fangasi maana naishi nyumba za kupanga
kama mnavyojua kuwa zina vyoo vya kushea
 
Kigeugeu maana yake kwanza. Then ndio ujue kama rais wetu huwa hatuchanganyii habari zingine ukiziangalia haziendani na hali halisi kwa macho tu na masikio
 
na hili ni tatizo mtu akiongea ukweli huonekana katukana, kwani wewe hujui kuwa raisi ni kigeu geu????
ubora wa rasi KIKWETE umezidiwa na ule wa kandambili za maliwatoni......
maana zina umuhimu mkubwa sana mimi kwangu hunikinga na
kulikanyaga tope la maji taka nisipatwe na fangasi maana naishi nyumba za kupanga
kama mnavyojua kuwa zina vyoo vya kushea

Matusi kama haya ndo Social Network Regulatory act itayazibiti
 
Duh, mbona umemsifia hivyo jamani,mbayu wayu si ndio aliesema .....za kuambiwa changanya na zako. Kwani yeye hua anachanganya na zake?? mmh haya nimeuliza tu jamani............
Na mimi naongeza kwakusema tuna raisi Mbayuwayu!
 
" KIKWETE KIGEUGEU"
Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Mkuu naamini kuwa lazima kuna hoja ambayo mwandishi aliegemea katika kuainisha ugeugeu wa raisi, please mention it here ili tuichambue tuone kama kweli alistahili kusema hivyo au la..
 
hata siku moja hatuwezi kuendelea kama 2taendelea kukaa kimya kwani haya yote yanayotokea ni kutokana na unafiki wa kitanzania..hovyo kabisa
 
Tena ni kigeugeu kweli kweli!! Akikutana na wakina EL, AC na RA anawaambia hakuna wakujivua gamba. Akikutana na Nepi anamwambia big-up dogo. Aki-chair Cabinet anasema pandisha bei ya mafuta ya taa. Aki-chair CC ya CCM anasema shusha bei ya mafuta ya taa. EL alipojiuzuru akamkubalia haraka haraka, halafu akaenda kuitisha mkutano wa wazee wa Dar na kuwaambia EL kapata ajali ya kisiasa. etc, etc
 
Kuna wimbo wa mkenya mmoja unaitwa KIGEUGEU. Jamaa amemlaumu mpaka PAKA wake kuwa anamgeukia. Eti alimtuma ale PANYA, yeye si akaanza kula SAMAKI. Same applies to JK; tulimtuma alete maisha bora, yeye akaanza kuleta usharobaro ikulu. Mkuu umevunja record!! I like this, jamaaa for sure ni kigeugeu. Watanzania tumwombe Mungu atuepushie mbali huu uongozi wa majambazi. Chama lao limekuwa janga kwa Taifa.
 
" KIKWETE KIGEUGEU"

Mwandishi Saed Kubenea

Sheria ya nchi iko wazi kwa mtu yeyote kumtusi Rais ,Mtikila alifunguliwa mashitaka kwa kumtusi Rais
Kwa maneno haya Mwandishi Saed kubenea anapeleka taarifa kwa watanzania kuwa nchi ina Rais kigeugeu
Je nchi inaweza kuongozwa na Rais kigeugeu?

Huu ni uandishi wa namna gani? hili gazeti inabidi lichukuliwe hatua za kusheria na mwandishi huyu afikishwe mahakamani

Gezeti limepoteza muelekeo limeanza kuwa na mambo ya kidaku daku

hilo ndo tatizo lenu magamba mkiambiwa ukweli mmetukanwa, "Miafrika ndivyo tulivyo" - nn
 
Mkuu nimesoma kilichoandikwa

Kwanini kubenea anatumia heading ya kigeugeu ambayo haiendani na aliyoandika ndani

Kwanin kubenea anatumia heading ya kumtusi?

wewe ulitaka heading iwe
"RAIS MWENYE MSIMAMO KULIKO WOTE DUNIANI" au "RAIS JEMEDARI SHUPAVU KULIKO WOTE DUNIANI" au " RAIS ASIYEOGOPA MTU HATA AWE OBAMA" au "RAIS BORA KULIKO WOTE DUNIANI" au "RAIS AMBAYE HAJAWAHI KUANGUKA JUKWAANI" ?
 
Wewe ndiyo una nia mbaya na Rais unataka aumbuke kwa kutaka kubenea ashtakiwe, kwasababu Mahakama itamtaka asibitishe si ndo itakuwa balaa atakapothibitisha ukigeugeu wa kikwete??. Hata mimi namtusi Rais kwamba Kikwete ni muongo mkubwa na nikishtakiwa kwa hili nitathibitisha pia

Majuto mjukuu,utasimama peke yako kizimbani,yetu macho na masikio.
 
Back
Top Bottom