Mwanahalisi: JK apora nyumba Dar, mwenyewe aja juu

Kama hii nyumba ilikuwa ya serikali kama nyumba nyingine ambazo watumishi wa serikali walikuwa wanakaa, na baadae hao watumishi wa serikali wakaamua kujiuzia wakati Magufuri akiwa waziri wa ujenzi, iweje nyumba ambayo kikwete alinunua na ilikuwa ya serikali leo hii iwe ya wahindi walio marehemu??????????/

Kwa kweli inashangaza unapoona mtu anamlaumu Rais na kumwita mvamizi wakati yeye ni bonafide purchaser without any knowledge of defect of title. Kama tunakubali kwamba rais alinunua nyumba hiyo toka serikalini then tunakiri kwamba kabla nyumba hiyo haijawa ya rais ilikuwa ya serikali na ndiyo iliyopaswa kuulizwa na siyo rais ambaye ni mnunuzi asiye na lawama. Kwa upotoshaji mkubwa taarifa hii imemchafua sana Rais na kuwafanya watu waje na tafsiri hii potofu na yenye nia mbaya.
 
Kamnunulia mwanae mkuu! joking!!! ni vigumu kujua undani wa hii case sasa simtetei mkulu ila sioni kama atakuwa chizi kiasi hicho na kuvamia nyumba, something is in the air here!! it might be scent or something stinks like a butt!!!. Good evening thinkerzz!!!!
 
Hiyo nyumba ni mijawapo za nyumba ambazo Jk nyerere alizitaifisha miaka ile ya nyuma kutoka kwa familia za kihindi na kuzifanya kuwa msajili wa majumba na sasa NHC. Kwa mantiki hiyo nyumbwa tajwa ilikuwa ni kubwa na ina hadhi ya kukaa maafisa wakubwa wa serikali ndo maaana unaona hata Jk baada ya kupata uwaziri walimpatia hiyo nyumba.
 
Jamani JM (Jakaya Mrisho) Mapori yamejaa huko Rufiji na pesa anayo si akashushe mijumba huko apeleke umeme,barabara, maji nk. tena kuna upepo asilia. Yanini kupora hiyo mijumba na kuambulia aibu?
 
Mna chuki binafsi na JK, hilo ni zengwe tu la kisiasa juu ya vita dhidi ya ufisadi! Goo Jk Go!, kama hawa kweli ni eneo lao walete uthibitisho wa kodi walizokuwa wanapokea toka serikalini kwa matumizi ya hiyo Nyumba yao kabla ya kubomolewa na kujengwa upya!
Hawa wahindi kama wanatumiwa vibaya nadhani watavuna jeuri ya mabwana zao soon
Aidha waseme aliyewatuma
 
sheria inasemaje?

Je imevunjwa au haikuvunjwa?

Na kama imevinjwa, itakuwa ni ipi?

na kama imevunjwa basi sheria ifuate mkondo wake!
 
Kwa kweli inashangaza unapoona mtu anamlaumu Rais na kumwita mvamizi wakati yeye ni bonafide purchaser without any knowledge of defect of title. Kama tunakubali kwamba rais alinunua nyumba hiyo toka serikalini then tunakiri kwamba kabla nyumba hiyo haijawa ya rais ilikuwa ya serikali na ndiyo iliyopaswa kuulizwa na siyo rais ambaye ni mnunuzi asiye na lawama. Kwa upotoshaji mkubwa taarifa hii imemchafua sana Rais na kuwafanya watu waje na tafsiri hii potofu na yenye nia mbaya.

Cheo cha urais ni kitakatifu ..hakipaswi kuhusishwa na uporaji wa mali za watu ..regardless what..kama alijiuzia hiyo nyumba toka serikalini alikuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa ni nyumba halali..na ni rahisi angeagiza search wizara ya ardhi angepewa status...watu wote makini hufanya hivyo kabla ya kununua property..\

Udhaifu wake mwingine na labda hata uvunjaji wa sheria ni kuwa UJENZI WOWOTE UNATAKIWA UPATE VIBALI MANISPAA....kama kweli alifuata taratibu za ujenzi..basi wakati wa kuomba kibali cha kubomoa na kujenga nyumba mpya ,manispaa walitakiwa kumshauri hiyo kasoro kama walifanya kazi kwa umakini....au kama waidhinishaji walipitisha haraka haraka ramani yake bila hata kutaka kuona title deed ...huo ni udhaifu mwingine wa pande zote...

Ni ubaguzi wa hali ya juu kutaka kuwa wale YATIMA wadhulumiwe tu kwa ajili wao ni wahindi ..au kufikiri wanatumiwa..kumbukeni hao ni watoto ..wamekuwa wanadai mali zao...jiulize kama wewe ungependa ukifa wanao wadhulumiwe...na yeyote..sio kila jambo ni siasa..

NYUMBA ZA MSAJILI wanaonunua wawe makini ..kwani matatizo kama haya ni dhahiri...hati za nyumba hizo hazikubadilishwa wakati wa utaifishaji...na katika miaka ya karibuni tangu miaka ya mwisho ya utawala wa mwalimu ...na miaka ya utawala wa mwinyi kuna watu wengi tu ambao walitaifishiwa nyumba zao walianza kurudishiwa ...wapo wengi tu...na wengine wamepewa kipaumbeele kuingia ubia na national housing kuendeleza magorofa...hii inatokana na wengi wao kwenda kulalamika kwenye jumuia za kimataifa na kadhia ile ikawa inasababishia serikali maswali.......mmoja ya watu ambao nyumba zake zimerudishwa ni Kambona......

Walionunua nyumba za serikali walio salama 100% ni wale ambao nyumba zao zilijengwa na serikali au wakoloni....lakini wale waliojinunulia za msajili [zilizotaifishwa ] hawawezi kuwa salama ...NDIO MAANA SERIKALI ILIWAPA KIPENGELE WALOUZIWA NYUMBA KUWA WASIBOMOE AU KUENDELEZA KWA MIAKA 30....nadhani hichi kipengele kililenga kuwalinda wao au serikali dhidi ya mashtaka ya aina hii......
MWISHO NI KUWA RAIS AMEVUNJA KIPENGELE CHA MKATABA WA KUNUNUA NYUMBA YA "SERIKALI" KWA KITENDO CHA KUIBOMOA NA KUJENGA MPYA...!!!

Kama ningeambiwa nipige kura kati ya JK aka JM na wahindi nani apewe hiyo nyumba ninge keep kura yangu; JM na wahindi wote bomu
 
Tatizo la viongozi wetu ni kulewa madaraka na hivyo kujiona wako juu ya sheria, na sasa sina shaka wanahaha kuzima hilo. Hao yatima kama wana akili nzuri wadai kurudishiwa kiwanja chao ambacho ni hazina kuu na kabisa eneo kilipo kuliko pesa zinazoweza ingia simoni kwa dakika moja.
 
Cheo cha urais ni kitakatifu ..hakipaswi kuhusishwa na uporaji wa mali za watu ..regardless what..kama alijiuzia hiyo nyumba toka serikalini alikuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa ni nyumba halali..na ni rahisi angeagiza search wizara ya ardhi angepewa status...watu wote makini hufanya hivyo kabla ya kununua property..\

Udhaifu wake mwingine na labda hata uvunjaji wa sheria ni kuwa UJENZI WOWOTE UNATAKIWA UPATE VIBALI MANISPAA....kama kweli alifuata taratibu za ujenzi..basi wakati wa kuomba kibali cha kubomoa na kujenga nyumba mpya ,manispaa walitakiwa kumshauri hiyo kasoro kama walifanya kazi kwa umakini....au kama waidhinishaji walipitisha haraka haraka ramani yake bila hata kutaka kuona title deed ...huo ni udhaifu mwingine wa pande zote...

Ni ubaguzi wa hali ya juu kutaka kuwa wale YATIMA wadhulumiwe tu kwa ajili wao ni wahindi ..au kufikiri wanatumiwa..kumbukeni hao ni watoto ..wamekuwa wanadai mali zao...jiulize kama wewe ungependa ukifa wanao wadhulumiwe...na yeyote..sio kila jambo ni siasa..

NYUMBA ZA MSAJILI wanaonunua wawe makini ..kwani matatizo kama haya ni dhahiri...hati za nyumba hizo hazikubadilishwa wakati wa utaifishaji...na katika miaka ya karibuni tangu miaka ya mwisho ya utawala wa mwalimu ...na miaka ya utawala wa mwinyi kuna watu wengi tu ambao walitaifishiwa nyumba zao walianza kurudishiwa ...wapo wengi tu...na wengine wamepewa kipaumbeele kuingia ubia na national housing kuendeleza magorofa...hii inatokana na wengi wao kwenda kulalamika kwenye jumuia za kimataifa na kadhia ile ikawa inasababishia serikali maswali.......mmoja ya watu ambao nyumba zake zimerudishwa ni Kambona......

Walionunua nyumba za serikali walio salama 100% ni wale ambao nyumba zao zilijengwa na serikali au wakoloni....lakini wale waliojinunulia za msajili [zilizotaifishwa ] hawawezi kuwa salama ...NDIO MAANA SERIKALI ILIWAPA KIPENGELE WALOUZIWA NYUMBA KUWA WASIBOMOE AU KUENDELEZA KWA MIAKA 30....nadhani hichi kipengele kililenga kuwalinda wao au serikali dhidi ya mashtaka ya aina hii......
MWISHO NI KUWA RAIS AMEVUNJA KIPENGELE CHA MKATABA WA KUNUNUA NYUMBA YA "SERIKALI" KWA KITENDO CHA KUIBOMOA NA KUJENGA MPYA...!!!

this country has gone to the dogs

sasa mtu anyeshewe mvua au aangukiwe hiyo nyumba?
 
...Waliouziwa nyumba za serikali hawajakatazwa kuzikarabati nyumba zao...uendelezaji una maana kama alivyofanya Bwana Kikwete.......yaani kubomoa na kujenga kitu kingine....huo ni uendelezaji...na mimi nadhani wanasheria wa serikali walioweka hichi kipengele walikuwa na nia njema kuikinga serikali na wanunuzi dhidi ya mashtaka au pia waliangalia mbele ikiwa ndani ya hiyo miaka 30 akatokea mtawala akaamua zirudishwe .....serikalini ,that also can happen ....na hali ya siasa mnaiona....in that even serikali itakachofanya ni kuwalipa fidia ya msingi....kwa kuzingatia bei BOOK PRICE walizouziwa nyumba ..na kuweka interest.....pale basi unapewa ......unachapa lapa ..hawataangalia kama kwa jeuri yako ulibomoa na kuweka apartments au PALACE......Wao watalipa walichokuuzia!
 
Wacha apore tu, wahindi wamedhulumu haki za watu weusi wangapi? Tukichukua takwimu hapa we will not even need to discuss this. Sasa nasema hiviiii to hell with sheria za kulinda wahindi. Najua wapo wenye roho nzuri lakini ni wa kuhesabika wengi wao ni washenzi, wabaguzi na wanajiona untouchoubles. Hawajalazimishwa kuishi Tz.
 
msoga.jpg
 
Back
Top Bottom