MwanaHalisi hacked?

LoL...

I now know why!

invisible that is too small for consultation....

let them struggle a little bit, I know changing the index page to that taken from backup will off course take out some of the last updated links which they have to work out. but still u can consult then in mechanisms i.e. how did that happen and associated vulnerabilities.

always opt for tough and challenging things to be recognized and appreciated

just a comment
 
I think the problem here ni kwa hao wanadai wanajua kufanya kazi au kuingilia kazi za wengine. wengi hawajui mechanism and why this happen or that happen till this happen wengi wanafanya kazi kwa mazoea na hata bila ujuzi. Computer field in general kwa Tanzania imeingiliwa sana na mamruki kila mtu anajifanya anajua kumputer especialy on wep page development.

For me kufahamu mechanism ni bora zaidi kuliko chochote let them go to school. na napenda kuwashauri also cheap labour in cost zaidi

KUMBE UNAJUA CHEAP LABOR NI MBAYA SIVYO ?
 
KUMBE UNAJUA CHEAP LABOR NI MBAYA SIVYO ? INA BIDI NA WEWE UWE MFANO KWA HIYO WORKSHOP YAKO NA MIRADI YAKO MINGINE UNAYOIFANYA KUONYESHA MSISITIZO .
 
Hivi nyie mnajua maana halisi ya neno "hacker" au mnaongea tu? Angalau Invisible ana point, na Mpita Njia, pia!
 
Ndugu System Admin wa MwanaHalisi samahani kama nakuingilia kazi yako.

Lakini, kwa sasa ukiingia kwenye url ya mwanahalisi ninaliona folder lako unalotaka kuweka mafile ya website hiyo (file attached).

Hili ni kosa kubwa.

Yaani unaruhusu directory listing and browsing. hivyo mtu anauwezo at least wa kuona jina la folder lako, na ukiweka ile kitu 'config....' mtu anaweza kudownload password kiulaini. hacker ukimpa hints za jina tu unampunguzia iterations za kujaribu hivyo unaifanya kazi yake iwe rahisi.

Angalia hii video hapa jinsi ya ku-deface website ya mtu anaye-list directory zake: [media]http://www.youtube.com/watch?v=LkZ2SN-InAY[/media]

Yaani ondoa hiyo option mtu asiweze ku-list mafile yako hata kama hamna index file.
 
Attachments

  • mwanahalisi.pdf
    106.9 KB · Views: 177
aaaah halisihalisi kwisha habari yaooo...wajipange upya.....website yao kwishnaaa
 
Moderators,

Naona mjadala huu umejifunga wenyewe? Kwa kuwa tu website ya MwanaHalisi imerejeshwa hewani au wadau wameishiwa point? LOL

./Mwana wa Haki!
 
Naona siku hizi Mpaka Fareed Zakaria anaandikia Mwanahalisi.

Hawajachacha!
 
Nadhani itabidi niwatafute ili niwahamishe kwenye servers zangu, ambazo zinatumia Apache 2 servers (Linux). Wameingiliwa kirahisi kwa kuwa wanatumia Microsoft Internet Information Server, ambayo ina multiple security holes.

We did a PEN TEST for the BOT Servers, you will be surprised to know that it has several weaknesses! Tatizo ni kwamba kuna ma-consultant uchwara, ambao wanapromote Microsoft products, ambazo bado ni beta-ware. Imagine website ya BOT kuwa hacked? Si tu kwamba inaweza kuwa hacked, hata firewall yao si secure. Mtu anaweza kuingia kule kirahisi, akafanya atakalo, aka shutdown entire systems. Waambieni wanitafute kwa PM nitawaelekeza waende wapi kupata ushauri mzuri sana!

./Mwana wa Haki
 
MwanaHaki,

The information about BOT was an uncalled for expose and a serious breach of professional ethics.Now every script kiddie is gonna be on their case!
 
Back
Top Bottom