Mwanahalisi: Dr.Olimboka asisitiza, waliotaka kumuua wanatoka Ikulu

Hivi kwani hizi Mahakama kwani ni za nje ya Tanzania ?Ina maana Mhimili mkubwa huu ukitumiwa kama Mwamvuli,hakuna kuhoji???Je kesi ingekuwa kwa Ocampo?
 
natamani sana kulia ina inabidi nicheke nikikumbuka kauli ya Mh wangu SUGU kuwa filamu haijaeleweka arudi tena Studio ni NOumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nina shaka kama Dk. ulimboka karudi kwenye fahamu za kawaida tusubiri apone vizuri tumsikie mwenyewe badala ya habari za kuokoteza.
 
Haswa, Haswa!!!!!!!!!!! Maneno yako yana element fulani za ukweli. Kwa sababu siku hile alivyokuwa anatoa maelezo ya kukamatwa huyo mkenya ni vichaa tu ndiyo wangeweza kuamini. Kwa sababu inavyoonekana hata huyu kova hana uzoefu wa kusema uongo. Siku hile alikuwa anaongea huku anatetemeka na tena kama mtoto mdogo. Ngoma inogile.
Kova + Zoka = Jakaya Kikwte!

Huyu ndiye yuko nyuma yote haya.....kwasababu ana upeo mdogo ndie anashauri njia hizi za kijinga!






..
 
yap, maana upepo wa sasa ivi ni gharika , kova , msangi na zoka ni lazima wawajibike kwa hili suala

siasa kwenye jukwaa la sheria ni vitu viwili tofauti kabisa... maneno ya mh. Sugu jaji/hakimu hawezi kusilikiza popote duniani lakini kwenye siasa ni uchochoro wa kuongea chochote.
 
Ni vema kabla hamjadanganya mjipange kwan watanzania wa leo c watanzania wa jana watu wameelimika hvyo kova rudi tena studoi filamu yako hii haijaeleweka na watu
 
Movie yenyewe haiji manake director hajawekana sawa na producer. Kama gwajima anawakana inakula kwao zaidi
 
maelezo yaliyoandikwa kwenye hili mwanahalisi hayana jipya ni marudio ya yale yale tuliyokwisha yajua
 
Back
Top Bottom