Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Structure design.

A timber beam with an effective span 2.0m supports a uniformly distributed load of 4KN/m. If the width of beam is 50mm and the allowable bearing stress parallel to grain is 7N/mm square. What is the depth of the beam .
Google km lilivyo utapata solution
 
Kwanini ukichukua kopo mfano kopo la dasani tupu ukaanza kuvuta hewa (kwa mdomo) iliyomo ndani ya kopo hilo kopo hujikunja...?
ukiondoa hewa kwenye kopo pressure iliyopo ndani ya kopo hupungua au kuisha na kubaki tupu. kwa hiyo mgandamizo wa hewa ya nje huwa mkubwa kuliko mgandamizo wa hewa kwenye kopo, hivyo kulifanya kopo lisinyae au lijikunje kwa ndani.
 
na vipi ukifanya hivyo kwenye chumba kilichopigwa sild na kuacha upenyo mdogo wa kuivuta hewa ya ndani vp na chenyewe kitajikunja..?
 
chemistry nipo hapa swali lolote 1-chuo kikuu
Mimi nina swali la Chemistry mkuu japo linaweza kuwa sio la chuo kikuu,ni hivii kuna wale watu wanakaaga chini ya maji na kufanya utafiti kwa marine organisms,hao watu huwa wanabeba mitungi ya gesi mgongoni ya kuwasaidia kupumua.

Swali: je huwa wanaivunaje hiyo oxygen na kuihifanyi kwenye lile dumu? Wanajuaje itawatosha na haitaisha kabla ya kumaliza utafiti wao?
 
Wakuu naona kuna haja ya walimu kujipambanua ili wanafunzi/wenye maswali watupie kwa walimu husika. Mimi najipambanua kama mwalimu wa Chemistry, Biology & Geography kwa O~level. Tupia swali lolote la masomo haya upewe majawabu haraka. Usisahau kuQUOTE au kuMENTION jina la mwalimu ili mwalimu apate notification. Asante sana.
mkuu Cc tpaul:

Kwanza, Naomba unisaidie kujua ni theory (kwasababu haijathibitishwa) ipi inayoelezea haswa chanzo cha dunia hii na yenye mantiki kabisa mpaka iaminiwe?

Pili, Ni ushahidi upi unaoonesha KWELI kuwa kuna sayari 9 na zimepangana kuanzia Mercury,Venus,Earth n.k? Ni nani alithibitisha mpaka sisi watu weusi tulio nyuma sana kisayansi tukaamini?

Tatu,chanzo cha jua ni nini? Na ni kweli jua lina compositions ya elements kama Helium?

Msaada tafadhali hayo maswali yananifikirishaga sana na yananifanyaga nisiamini katika sayansi kweli.
 
asante kwa swali zuri mkuu. kwa heshima na taadhima swali lako nalielekeza kwa mwalimu yeyote wa geography aliyemo humu jamvini. karibu wanageografia mumsaidie mkuu huyu.
 
The realization of child rights is far to be reached because the international standards leave room for ineffective protection and promotion of the said rights. Argue in support of this statement
 
lita ni volume huwezi kuibadilisha moja kwa moja kua kilo mpaka uwe na density ya iyo liquid na utatumia

mass =density *volume
lakini liter utaichenge into m^3
Napenda kujua inakuaje ukienda kwenye hizi mashine za kukamulia mfano alizeti ukinunua Lita 20 wanapima kwenye ile mizani ya magunia jeeh hapo hamna ufisadi kweli..nimeshuhudia Mara nyingi hiki kitendo kama kuna wanunuzi was mafuta ya alizeti watakuwa mashahidi
 
Mimi nina shida. Naombeni msaada wenu wa mawazo. Nimemaliza form four mwaka juzi nina pass ya 1.3. Ila ninataka nikasomee uuguzi, naombeni msaada wenu nifanyeje. Nimeshahangaika sana na ndugu zangu wamehangaika bila mafanikio. Ninahitaji kusoma, hata kama sio nursing hata course yoyote ile ili mradi nisome nitoke hapa nilipo.

Mbarikiwe sana.
 
Naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mwanafunzi nimemaliza mwaka juzi nimepata pass (gpa ya 1.3). Ningependa kwenda kusomea nursing nimeshahangaika sana na ndugu zangu wamehangaika bila mafanikio.

Naombeni msaada wenu wa mawazo wa chuo na course yeyote ile ili niweze kusonga mbele. Asanteni sana na mbarikiwe.
 
Katika local government authorities kuna municipal councils na county councils

Sasa nauliza COUNTY councils ni zipi hizo?

Msaada tafadhali.
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom