Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,223
- 7,993
hautatokea sehemu nyingine.
!
!
Kwa nini sasa? Wakati ninapokuwa juu na chopa ninakuwa nimeiacha dinia?
hautatokea sehemu nyingine.
lakini speed ambayo dunia na vitu vilivyomo unakuwa nayo bado. pia bado unakuwa kwenye influence ya gravitational force ya dunia. kuiacha dunia ni mpaka uwe na escape velocity.!
!
Kwa nini sasa? Wakati ninapokuwa juu na chopa ninakuwa nimeiacha dinia?
lakini speed ambayo dunia na vitu vilivyomo unakuwa nayo bado. pia bado unakuwa kwenye influence ya gravitational force ya dunia. kuiacha dunia ni mpaka uwe na escape velocity.
Malipo yatakuaje kwa wanaosolve maswali mbali mbali.Maana Mwalimu jembe lake ni ualimu wake.Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Malipo yatakuaje kwa wanaosolve maswali mbali mbali.Maana Mwalimu jembe lake ni ualimu wake.
Mada nyingine huwa unaelekezwa just intro then sehemu inayobakia unaambiwa waone wahusika wanatoa contacts zao kwa hiyo na hapa ni hivyo hivyo,kwamba unajibu just intro then natoa contacts za tuition centre: ili uje uelekezwe swali zima au hapa ni tofauti unatiririka lote bure?unavyolipwa kusoma nakuchangia mada nyingine basi huyo huyo anayekulipa atakulipa
Mada nyingine huwa unaelekezwa just intro then sehemu inayobakia unaambiwa waone wahusika wanatoa contacts zao kwa hiyo na hapa ni hivyo hivyo,kwamba unajibu just intro then natoa contacts za tuition centre: ili uje uelekezwe swali zima au hapa ni tofauti unatiririka lote bure?
Umewahi fika kuzimu?huwa unachangiaga mada ambazo hazina manufaa hata kuzimu, but hii yakusaidia vijana wasizurure humu bure unaona issue sana nina wasiwasi hata ujuzi huna unaofaa jukwaa hili.
pia unapoona uzi ambao haukufai haukulipi pita kimyakimya sio zambi
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Wambie wanafunzi waweke maswali hapa ili wasaidiane kuyatatua we unasema walimu waanze kusolve bure utafikiri wao walisoma bure sasa.Anyway sijaja kuwambia wasiwasaidie wanafunzi Ila wajue thamani ya kazi yao.Wanastahili kupata mkate kwa kazi yao.
Humu nikileta shida kuwa nataka nichorewe ramani ya Nyumba bure utafikiri kuna mtu atanichorea?
SWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
SWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?