Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,842
- 4,777
Utakua hujielewi, yani hujui kama hii elimu ni ya kikoloni?
simply umetafuta ratioM=4
N=3
ishu ya mikopo anza hata leo apply.jamani mm ni mwanafunz nily maliza kidato cha sita mwaka huu kwaiyo nahitaj kufaham jins ya ku apply mikopo pia muda sahihi ninao htajika kufany zoez hil tafadhal mweny kufahamu naomba anptie msaada
Mimi nahisi walimu watundike madogo stick tu.Ni kwanin mnatumia fimbo kama njia pekee ya kuwakanya wanafunzi!,hivi hamuwezi kubuni njia mbadala mpaka muitumie ile aliyowafundisha mkoloni jinsi ya kumtreat mtu mweusi mwenzio?,mbona wao hawachapani fimbo na wanafaulu masomo yao?
simply umetafuta ratio
Labda si fani wanazopenda ila pia Watz ni wavivu kujifunza kitu huku wengi wakijifanya wajuajiYap, i don't know why madogo wa cku hizi wanafeli hesabu nyepesi kama hizi
unajibu swali lipi mkuu?Km reducing sugar ipo bac na non reducing ipo km reducing haipo huwez ukaipata non reducing sugar
Yes, Lymph is a clear fluid collected from interstitial spaces btn tissues,its composed mainly wic lymphocytes, plasma and some blood cells,it is organized by lymphnodes where it is filtered an re joing the blood system,lymph nodes sometyms respond to local inflamation an hence enlarges an become palpable, circulation of lymph is pumped by gravity an contraction of muscles.What are the differences between blood circulatory system and lymphatic sytem? It is better to start/end by defining "Lymph"..thanks waiting for answers.
Naomba kuuliza terms hzi kwenye maada ya accounts zinanitatiza Carriage inwards, Return outwards, Return inwards na kwenye trading account inachanganuliwaje?Kwa bookeeping na commerce form 1-6 nitajibu. Accounting profesional from diploma upto 1st bachelor tutapeana mawazo/maoni/discusion n.k.
Carriage Inwards = Ni gharama zinazotokana na bidhaa zilizonunuliwa mbali kusafirishwa na kuletwa kwenye eneo la bishara. Hii inajumulishwa kwenye purchasesNaomba kuuliza terms hzi kwenye maada ya accounts zinanitatiza Carriage inwards, Return outwards, Return inwards na kwenye trading account inachanganuliwaje?
Okey nashukuru umenifungua akili kwani hzi terms zilikuwa zinanisumbua sana maana yke kwenye maswali ya accounts hesabu mtihani wa necta mwaka 2015 waliuliza na terminal exams wakatoa tena.Carriage Inwards = Ni gharama zinazotokana na bidhaa zilizonunuliwa mbali kusafirishwa na kuletwa kwenye eneo la bishara. Hii inajumulishwa kwenye purchases
Carriage outwords = Ni gharama zinazotokana na bidhaa zilizonunuliwa na mteja na kusafirishwa hadi eneo analotaka mteja mwenyewe. Hii inaonyeshwa kama expense baada ya gross profit is calculated.
Return Inwords= Ni gharama zinazotokana na mteja kurudisha bidhaa alizonunua kwako aidha, hajazipenda au kapewa bidhaa ambazo hakuagiza. Mara nyingi huwa ni Debit Balance as they are sales return.
Return Outwards= Ni gharama zinazotokana na wewe kurudisha bidhaa ulizonunua dukani aidha kwa kuwa hujazipenda, mbovu au sio sahihi. Mara myingi huwa Credited Balance as they are Purchase Return