Mwanafunzi wa BA (Econimics) kusoma short course za computer imekaaje?

Mani H

Senior Member
Mar 25, 2011
180
46
SALAM KWA WOTE, me nimwanafunzi wa ba (economics) natamani na napenda kusoma short course za computer kama vp networking au oracle, vp wezangu imekaa poa au nakosea?
 
Sasa Mdau wewe unasoma Economic usome Networking ya nini?
Bora usome tu Office,tally...na kama ni oracle ni labda usome Oracle applications(finance) na SAP..unaweza zitafuta hizo course kwenye mtandao na utaziona.
Ila kama unataka kubadili field uko sahihi...
 
Kama ndo unachotaka kufanya sawa, ila hakuna relationship kati ya Networking na Economics. Programming kidogo inaweza ikawa useful kwenye Eco.
 
Sasa Mdau wewe unasoma Economic usome Networking ya nini?
Bora usome tu Office,tally...na kama ni oracle ni labda usome Oracle applications(finance) na SAP..unaweza zitafuta hizo course kwenye mtandao na utaziona.
Ila kama unataka kubadili field uko sahihi...
tanks, nitajairibu kutafuta na kuiangalia hiyo oracle kama itanifaa
 
hizo course si rahisi kama unavyofikiria na ndio maana watu huwa wanafanya baada ya kumaliza degree ya comp sc na bado wanafail
 
ndugu zangu wa jf nawashukuru waliotoa maoni yao kuhusu mada yangu, pia bado nahitaji ushauri na maoni yenu.
 
hahaha katoka FB, amejisahau akajua bado yuko huko. Naona watalaama wameshakushauri fuata ushauri wao. Mimi nakutakia kila la kheri ubarikiwe sana.
 
nakushauri umalize shule kwanza, alafu ukishapata kazi ndio utajua nini cha kusoma next... otherwise utakuwa unasoma kila siku

kama alivyokuambia kang kwamba economics na programming vinaenda pamoja sana sana c++, vb
 
thanks,
 
Kijana amekuwa addicted na Facebook.

Watu mnapenda kumake assumptions. Kama hujui ni bora kuuliza. Kusoma networking haina maana kusoma social networking. Kuna kozi kibao za computer networking. Inawezekana alitaka kusoma a computer networking course which allows sharing of resources and information among interconnected devices. Hiyo nayo Facebook?

Mkuu Hermanj the fact kuwa umesoma economics haina maana kuwa hutaweza kusoma others courses kama za computer. Tunakoenda huko mbele working with computers will be even more. It is all about multidisciplinary. Kama nataka mchumi wakija wachumi wawili lakini mmoja ana ufahamu wa computer networking na huyo mwingine hana, definitely I will pick the former be'se pamoja na kunisaidia kwenye mambo ya uchumi atanisadia pia kunetwork computer zangu kwenye ofisi. I wont need to contract outsider to do that.
 
thanks
 
SALAM KWA WOTE, me nimwanafunzi wa ba (economics) natamani na napenda kusoma short course za computer kama vp networking au oracle, vp wezangu imekaa poa au nakosea?

ndugu zangu wa jf, zimebaki siku chache za kuamua lichowaomba ushauri kama kuna zaidi naomba ushauri
 
Back
Top Bottom