Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

Maskini na mtihani ni keshokutwa,

Watu wanasikitika mapilau na makeki na muda walio andaa unafikiri wanasikitika maumivu au kukosa paper huyu, wao wanasikitikia mnuso kuharibika na kubeba mahot pot kurudi nayo nyumbani yakiwa yamejaa pilau
 
Ukiskiliza maelezo ya mashuhuda utagundua ilikua ni ajali na binti hakuwa na lengo la kuendesha gari hilo.

duh ilikuwa je akaenda kukaa kweny stering kama lengo alikuwa kuendsha.hapa ni sawa na muuza bang aseme mim sivuti ninauza tu, police wamwachie
 
Inasemekana hili gari lililo tibua mnuso mmiliki ni kaka ake na Kibibi huyo binti aliyeweka gia ya kurudi kinyuma nyuma. Wote wanaisadia polisi kwa uchunguzi zaidi

teh teh wenyewe awawez mpaka msahada mambo yapo wazi kabsa upelelez wa nini, sht
 
masikini labda alitaka kuanza nalo jamani kuja dar ...alikuwa na lengo zuri

hii ni adabu kwa nyie wazazi mkiwa na magari wafundisheni watoto wenu sio mpaka aibe...
Miaka 19 si mtoto bali mtu mzima ambaye anajua madhira na madhara ya magari. Iweje aparamie kutaka endesha siku hiyo?
Nimejiuliza maswali mengi na nikahisi kuwa ama huyo binti si mzima kiakili, au huenda ndio wale wanafunzi ambao wanatumika na secret societies.
Kama sivyo nasikitika kwa mawazo yangu mabaya.
 
show off...midentiii bana,anataka kuwapigaa wezake bakoraaa apate ma usipunii town kwamba anajua kuendeshaa,jee yeye nae ni mmoja wa waitimu kwenye hiyo graduation??
 
Hii Ajali tuu ilitokea, maswali ya kujiuliza hapa ni kwamba, Je gari liliachwa kwenye silence au binti anaweka switch anawasha gari? na hakujua ipi ni break ipi ni accelerator.

Kama kaka aliacha gari silence na kumtuma mdogo wako basi aliweka reverse gear bila kujua. hivyo wa kumlaumu ni kaka kwa uzembe
 
Ukweli wa hili jambo anajua yeye binti na kakake maana sie tutabakia kubuni labda ilikuwa hivi na vile. Nawaombea majeruhi wapone haraka
 
kwa uelewa wangu huyo binti hakuwa na nia mbaya naye alikuwa anataka kuwaonyesha wenzio kuwa anaweza kuendesha gari. Hiyo inatokeaga sana maana kuna jamaa hivyo hivyo sema yeye aligonga mti yeye alirudi riverse badala ya kukanyaga breki yeye kakanyaka mafuta
 
Back
Top Bottom