Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

Polisi na Mahakama za Tanzania ni kichomi. Kama unabisha fuatilia kesi hii ambayo kila kielelezo kiko hadharani, utaambiwa "Upelelezi unaendelea" na ikigota Mahakamani itapigwa tarehe hadi mwezi Juni mwaka huu na mwezi Juni kupigwa tena tarehe hadi Desemba mwaka huu na........! Shame on them!!!!
hiyo ni traffic case mahakama sizana kama inahusika
 
Kwa kweli ni ajali ambayo imekatiza ndoto zake
Daa nimemuona huyu binti kwa Joyce Kiria akimsaidia kupata pesa za kwenda zanzibar.. Kwakweli ina sikitisha sana history yake kwakweli kila inapo fika leo yatupa kumshukuru Mungu kwa kila jambo...huyu binti alikuwa mzima kabisa lakini leo yuko hivyo......
 
kuna movie moja niliiona zamani jamaa alikuwa na uwezo wa kurudisha mambo nyuma na kugandisha watu nilitamani ahusike ili mambo yarudishwe mwanzo kama mkanda nimejaribu kufikiria tuu
 
Ndugu wanajamvi,

Poleni kwa majukumu. Leo kulipangwa kufanyika mahafali ya wanafunzi wa kidato cha sita wanaohitimu masomo mwaka huu. Habari nilizopata muda huu kutoka kwa wilayani Korogwe ni kwamba, wanafunzi wakiwa wanaendelea na maandalizi ya kuingia ukumbini kuanza sherehe, ikatokea mwenzao akachukua gari ya wazazi wake na kuanza kuiendesha katika viunga vya shule. Katika pilika hizo za kuendesha, amewagonga wenzake , ambao hali zao inasemekana ni mbaya sana, na wamepelekwa katika hospitali ya Magunga ya wilaya hiyo.

Chanzo cha habari hii ni dada yangu aliyepo hapo Korogwe muda huu, alikwenda hapo kuhudhuria mahafali hayo ya wanafunzi wa Korogwe Girls.

Mwenye ndugu yake hapo shuleni aanze kuwasiliana nae muda huu. More updates later.

Nawasilisha..


..¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤
Updates....Mwanafunzi aliyegonga wenzake anaitwa 'KIBIBI MMASA BAKARI.'
Waligongwa (hali zao bado zina utata) ni hawa wafuatao:-

1. Wakonta Mapunda
2. Lulu Calisty
3. Vicky Mtwale na
4. Nancy Juma
5. Zahra Jumanne

Nawapa pole sana waliopatwa na mkasa huu.

More updates coming......


View attachment 359654
Mkuu wa wilaya ya korogwe mwenye suti akiwa amemshika mwanafunzi Kibibi Mmasa (19) aliye weka gia ya kurudi nyuma gari na kusababisha balaa kwenye mahafali ya kidato cha sita shule ya wasichana Korogwe.

View attachment 359655
Hili ndilo gari lililo haribu mnuso wa Korogwe Girls wazazi na walezi wakaamua kurudi kwa majonzi majumbani na mapilau yao kwenye mahot pot. Hapa likiwa limeegeshwa shuleni hapo baada ya ajari.
Wakonta si ndiye huyu anaandika kwa kutumia ulimi...?
Aisee nataka kumchangia kuna mwenye details au account ya kufikisha mchango kwake.. Nakumbuka tulidisscas sana hii thread siku ya ajali.. On the same day... Daah..
 
Gari liliingiaje shuleni? Hakuna maegesho? Mlinzi alikuwa wapi? Kibali cha kufanya mkusanyiko kilitolewa na nani? Halafu gari lenyewe mkangafu trafik wa korogwe wakamatwe kwa uzembe,
Ilikuwa mahafali ki-boyfriend kikaazima Huo mkangafu kufika kikamuachia girlfriend funguo
 
Back
Top Bottom