Nadhani kuna wana JF ambao hawajaelewa mantiki ya hoja hii. Mantiki ya hoja hii ni kwamba it is irrational/illogical kuwa na mkopo wa fedha za kujikimu kwa ajili ya wanafunzi kuwa nyingi kuliko kima cha chini cha mshahara. Iwapo wanafunzi walilalamikia kiwango kidogo cha fedha za kujikimu wakaongezewa kwa kiwango kilichotajwa kwa kuzingatia hali halisi ya gharama ya maisha, iweje hilo lisifanyike kwa wafanyakazi wa umma?

kumbuka wazazi/walezi wa kima cha chini wana majukumu zaidi ya hayo yako na wanapata pungufu ya hicho unachopata wewe!!
Unaweza kuwashauri hao wazazi wakasome ili wasiendelee kupata kima cha chini,
Ni maajabu mtu kufanya irrelevant comparison, unatakiwa ufahamu hao wanaolipwa kima cha chini wana elimu kiasi gani halafu utambue na wanafunzi wa vyuo vikuu wana elimu kiasi gani pamoja na kwamba mmoja anapata mshahara na mwingine anapata bmkopo.
Na kama hawawezi kwenda shule ili mishahara yao ipande basi wanayo njia moja tu, kuunganisha nguvu zao kwa pamoja na kuibana serikali, kitaeleweka tu, lakini kwa mwendo huu wa kulalalmika bila kuchukua hatua wataendelea kulia hivi hivi kila mwaka.
Hapa naona wengi hawajaelewa Ms Judith alichotaka kuki discuss, inakua taabu kweli watu wengine kuelewa, ukizingatia shule zimepanda, na mambo ya kutumia common sense wanashindwa kujadili!
Labda ni sababu ya kukaririri sana mashuleni, au labda wanafunzi hawapewi nafasi ya kuwa wabunifu na kujifunza kutumia akili walizozaliwa nazo.
Mie naona wasomi wana safari ndefu mno bongo, kitu kidogo cha kujadili, lakini inachukua muda kweli kuelewa cha kujadili.
Tusipobadilika basi tuna kazi kubwa sana mbele yetu, labda watoto wetu wa english medium school waje kutuokoa?!

Kwakuwa hujaelewa kinachojadiliwa lazima utaona kwamba hatuelewi.
Soma thread kuanzia mwanzo na uone huyo judith na wenzake wanachojaribu kukisimamisha halafu uone na sisi wengine ni kitu gani tunazungumza.
Usipojitahidi kusoma katikati ya mistari huwezi kunielewa kabisa.
Unaweza kuwashauri hao wazazi wakasome ili wasiendelee kupata kima cha chini,
Ni maajabu mtu kufanya irrelevant comparison, unatakiwa ufahamu hao wanaolipwa kima cha chini wana elimu kiasi gani halafu utambue na wanafunzi wa vyuo vikuu wana elimu kiasi gani pamoja na kwamba mmoja anapata mshahara na mwingine anapata bmkopo.
Na kama hawawezi kwenda shule ili mishahara yao ipande basi wanayo njia moja tu, kuunganisha nguvu zao kwa pamoja na kuibana serikali, kitaeleweka tu, lakini kwa mwendo huu wa kulalalmika bila kuchukua hatua wataendelea kulia hivi hivi kila mwaka.
Off point kabisa. Hakuna anayedai kuwa hiyo pesa inatosha.
Hoja ni kuwa kama mwanafunzi mmoja hamtoshi, Je mfanyakazi mwenye familia anaishi vipi?
kwani posho ya safari hadi awe anaenda ulaya?
Hiyo pesa ya wanafunzi kiukweli haitoshi kwani matumizi ni mengi mno
1. kulipia chumba
2. nauli ya kwenda na kurudi chuoni
3. chakula cha asubuhi,mchana na jioni
4. kutoa photocopy kila siku zaidi ya sh 2500 kwa siku.
5. kulipia umeme pale alipopanga ili apate mwanga wa kujisomea.
6. kulipia bill ya maji ya Dawasco au mamlaka yoyote ile ya maji.
7. na mengine kama vocha kwani siamini kama kuna mtu tena msomi ana simu halafu akakaa mwezi bila kuwasiliana.
MKUUU HII PESA BADO HASHITOSHI.
mko off point wapendwa, hebu tulieni vizuri msome tena maoni ya wachangiaji mtaelewa mada inaongelea ninimtoa mada tafadhali elewa kwamba mwanafunzi halipwi... zile pesa atakuja kuzilipa ana kopeshwa.. na pia wanafunzi hawana chanzo cha kupata pesa ili kununuwa vitabu.. yeye siku zote anatoa pesa...! while mfanyakazi anatoa na kuingiza....!
kuna tofauti kubwa sna kati ya hawa watu 2