njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,368
- 5,512
Basi ni vema na waalimu nao wapewe hii mikopo isiyokuwa na riba..., Hapa issue sio kwamba wanafunzi wanapata pesa nyingi.., issue ni kwamba waalimu hawapewi fedha za kutosha. Sasa kama serikali imetambua kwamba pesa hizo hazimtoshi mwanafunzi kujikimu, iweje idhani kwamba pesa pungufu ya hizo inamtosha mwalimu tena mwenye familia na majukumu zaidi?
i feel ya bra! but kumbuka mwanafunzi ana matumizi mengi sana .. ukiachana na hostels, kuna vitabu , kuta kutoa copies .. walimu hawawezi kupata pesa toka bodi ya mikopo.. ile ipo kwa ajili ya wanafunzi tu!...
kipindi nipo tz walimu ilikuwa rahisi sana kupata mikopo tena kulikuwa na special mikopo ya walimu na polisi/ wanajeshi ....
all in all serikali yatakiwa iongeze kima cha mishahara ya walimu! kazi wafanyayo ni nzito sana