Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) atengeneza mtandao wa kijamii

Its Amazing! Are U Proud For This? Think Big And Unleash Your Potential, U Have Something Good To Proud Of Not That

iam very prood of that..hilo ndo lililonileta duniani na natamani niendelee kuishi miaka mingi nikifanya hivyo....so usitake niiishi utakavyo wewe,naishi nitakavyo mimi...kama wewe una mind kuimba mapambio kanisani hilo ni chaguo lako...mimi niache nichakaze mbunye za buree kule badoo...ushanifahamu? hiyo ndo potential yangu kama ambavyo wewe ni potential yako kuimba kwaya kanisani na kusubiri yesu akuchagulie mke
 
Indeed mkuu...

Lakini je idea ilianzia Udom, Facebook, MySpace, Bulletin Board System, Friendster, Linkedln n.k. ?

Pongezi natoa kwa IT literacy na coding efficiency lakini point za mafanikio ya social network yatatoka baada ya kujenga network na stick-ability ya said network (watu wakiingia wanakaa hawaondoki) and to do that marketing and promotion skills are needed even more than coding and IT skills

Mimi nilifanikiwa kusoma taarifa yake (ingawa kwa ufupi) Mwananchi (nahisi ni la tarehe 9 July 2014). Alidai hadi kipindi anahojiwa tayari alikuwa na watu wasiopungua 5,000!
Ila nawewe waweza ongeza idadi teh
 
Mbona Majanga au ndio wazungu washafanya yao .
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-25-07-20-03.png
    Screenshot_2016-03-25-07-20-03.png
    20.5 KB · Views: 67
Back
Top Bottom