Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

Kabla ya kujengwa ile hostel palijulikana kama bonded la mpunga au uwanja wa NPF wakati huo lakini nyuma ya macho ya kawaida palikuwa kilinge kikuu cha wachawi wa dar na pwani ndio maana eneo lile kuanzia riverside mpaka external halilali njaa kwa mwezi lazima ziondoke roho kadhaa
 
MAPENZI jamani ni HATARI! una jua mwenzako anakapo kukabizi funguo za moyo wake na hisia zake,halafu unamvuruga mara nyingi watu huwa wanashindwa kujizuia ma matokeo yake huwa kama hivi.Jamani tuwe makini sana na hasira zetu zisije tufikisha pabaya.jamaa ndo asahau tena swala la masomo hapo,kitu kidogo tu kimearibu maisha ya watu.eeh mungu tuepushe na haya mabalaaa AMINI.
Pole kwa wafiwa ila pamoja na hayo muuaji ameonyesha ubinafsi wa kiwango cha kutisha.Suala la kujiharibia halina nafasi he deserve it!
 
...Jamani, kuna mamo mengi sana tunapaswa kujiuliza kutokana na tukio hili. Hivi mwanamke kweli aliye mama yetu, mke wetu, mtoto wetu, mchumba wetu, bibi yetu, binti yetu nk ni wa kumshikia kisu na kumtishia kwa kisu kweli achilia mbali kumchoma nacho???
Hivi unapopigana na kisu na mwanamke mwanaume mwenzako utapigana naye na nini?
Hivi kumpiga hata kofi tu achilia mbali kisu binadamu anayetokana na mbavu zako mwenyewe si sawa na kujipiga kofi ama kisu wewe mwenyewe?
Tuwapige kwa pande za khanga jamani wanawake wetu na sio kwa ngumi wala visu! Very, very sad indeed.
Nchi sasa ni Less Wasomi wa Wawili.
Dhamira ya kuua alikuwa nayo hakwenda kwa ajili ya reconciliation wala kumuadabisha kwa hiyo siamini kwamba alienda kwa lengo lingine isipokuwa kuua tu! Kumuua binadamu with bare hands si kazi rahisi especially mtu mzima hata awe mwanamke ndo maana alibeba kisu.
 
huyu dada nakumbuka alikuwa very beautiful na alishakuwa kwenye mahesabu ya wengi enzi hizo block C.
alikuwa mpole, mrefu aliyeumbika na haiba fulani ya kimama sio kimchepuko.
kuna jamaa yangu alikuwa amedhamiria akimpata anaoa.
tulisikitika sana kuambiwa X wake kamchoma kisu na bahati mbaya post mortem ilifanyika jamaa yangu akiwepo kwani alikuwa muhas enzi hizo. jamaa bila kujua kwenye pindi lao anakutana na mwili wa mdada
 
huyu jamaa alimtongoza huyu dada wanavyofika chuo first year akakubaliwa na akawa mpenzi wake.
dada alikuja kujitoa baada ya kuona jamaa ni mwezi, mgomvi na mvuta bangi. in short jamaa alikuwa anashinda block G pale.
msela baadaye akawa analazimisha warudiane na huyo dada ila akatoswa kwani tabia yake ilikuwa haijabadilika na huyo dada akawa keshakuwa na uelekeo wa uhusiano mwingine.
jamaa ikabidi aamue wakose wote. iliumiza sana kwa tuliomfahamu mdada.
 
T

The two were my classmates. Sitaki kabisa kuikumbuka hii kitu. I was in the opposite room with my friends wakati wa mauaji hayo. One of my friends alipoteza fahamu baada ya kuona tukio lile.
 
Anyway saiv watoto wa hosteli wamekuwa. Zaman hakuna mzazi alitaka mwanawe akae mabibo. Yaani ilikuwa ni tishio kwa kila kitu
 
Hiyo ndiyo faida ya kuwa na Tabia ya UZINIFU !!!!
Ndugu yangu you better remain quite. Kwa tuliokuwa tunawafahamu hao watu inatuumiza sana. Pia don't rush to judgement on this. Hao watu nilikuwa nasoma nao na tulizoweana sana. Hujui what was going on in their affair.
 
Je mahusiano yao yalikuwa yanajulikana makwao yaan panda za familia zao
 
Jibu swali kwanza !!! Hayo ya Mimi kuwa nime oa au kuwa engaged to some 1 please put it pending....!
The answer that I would give to you won't mean anything unless you tell me about your status in the relationship. Hao watu walikuwa ni very close to me ndio maana nakwambia usiligusie kabisa hili swala kwa kufanya rash judgement. So I know a lot about their complicated relationship
 
My young bro to be honestly I cannot tell you anything concerning my marital status so you are free whether to tell me the reason behind that incident or to remain quiet....!

Let's leave the case as it is. Nilikuwepo eneo la tukio on that day, na jamaa tulikuwa tunapiga maji ya Ilala pamoja around kwenye bars zilizo around Mabibo hostel. A week before the incident huyo jamaa ni kama alikuwa kichaa hivi kwa jinsi his behaviour changed. So far sijui kesi ya jamaa imefikia wapi. But kitu kimoja ambacho ni dhahiri, tunahitaji sana kutoa ushauri nasaha kwa vijana kuhusu mahusiano ya kijinsia kuliko kuwapatia hukumu za kidini (kuwa huo ni mshahara wa uzinifu).
 
Nimekuelewa vizuri ndugu tatizo vijana wengi wanapenda mambo ya kuonja onja / Chapa Ilale na sio kumuweka mtu ndani lau ukamfuatilia binti mpaka kwao akaona kweli uko serious ni vigumu sana kukusaliti lakin ikiwa wewe upo kwaajili tu ya kujiikeza kwa basi kamwe hauwezi kuwa pekeyako lazma wengine nao watajiwekeza alafu kitu chengine wanaume wengi kuwasaliti watoto wa kike kwao wanaona ni sawa Ila wao wakisalitiwa upenda kuchukua Maamuzi magumu...!!!
 
Mwanzo wa mahusiano yao wengi waliitamani sana ile couple kiasi kwamba ilikuwa ni mfano kwa waliotamani kujiingiza kwenye mahusiano wakati ule. But again it became a bitter lesson to most of us by then. Walikuwa wako pamoja kila sehemu except wakati wa masomo kwa kuwa binti alikuwa anafanya B.Ed Art (Linguistics) na Masamba was doing B.A. Ed (Political Science &Kiswahili). When things get sour ilitakiwa kuwe na mtu wa kutoa ushauri nasaha kitu ambacho hakikuwepo chuoni na ninaamini mpaka sasa hiyo huduma hadi leo haipo. Dean of students anakuwa busy kubana watu wasifanye migomo badala ya kuwa mshauri wa wanafunzi. Hili swala naamini bado litakuja kuibuka tena somewhere maana vijana wanaachwa wajiongoze wenyewe vyuoni.
 
Sawa lakin Mtu unapitaka kufanya kitu fikiria Mara 2 utachukuaje uamuzi wa kuua ili Binti kasomeshwa kwa gharama kubwa mpaka kufika level hiyo alafu mzazi asikie tu Binti yko kauliwa ni vigumu mno kuelewa lakin kwa upande meengine uyo jamaa alikuwa akitumia kilevi chochote?
 
Alikuwa mtumiaji wa vilevi na mvutaji wa sigara. Nakumbuka niliingia kwenye mgogoro nae siku kadhaa. We used to drink together though yeye akinywa alikuwa anafanya sana fujo. Siku niliyokorofishana nae it was like a week before that horrible thing he did. Nilimwambia aache pombe maana anajifunzia ukubwani kwakua akilewa zinaanza fujo. Baada ya kukorofishana nae we kept a distance and it was within that week akafanya yale madudu. But he was a good boy na alikuwa mcheshi sana akiwa hajalewa
 
Back
Top Bottom