Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

KWA MNAO SEMA HAMUWEZI KUUA
hebu chukulia unampenzi wako mnapendana sana.
Huyo mpenzi wako wana urafiki na mdogo wako
Afu kuna rafiki yako wa kiume unamjua tabia yake kuwa ni kicheche balaaa
Maranyingi anakujaga kwenu kukusalimia kumbe sio hicho kinacho mletaga bali anakujaga kwenye mawindo ya dada yako
wewe ukachelewa kulijua hilo ukaja kugundua baadaee kuwa jamaa anatembeaga na mdogo wako mpaka wakati mwingine mdogo wako anaendaga kulala kwa jamaa
rafiki yake mdogo wako akawa (mpenzi wako) akawa hajui

sasa siku moja ukaenda kumtembelea rafiki yako ukakuta anamgegeda mpenzi wako afu pembeni kulikuwa na kisu na matunda it means muda si mrefu walikuwa wanakula matunda

mdogo wako kagegedwa demu wako pia kagegedwa na huyo rafiki yako it means wewe umemgegeda dada yako indirect

Tuache unafiki kwa dharau ya namna hii unataka kuniambia huwezi ukaua

MWANAFUNZJ wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Elimu (Duce), jijini Dar es Salaam, Bertha Mwarabu (23), ameuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kuchomwa kisu kwenye titi na tumboni kwa kinachodaiwa ni kutokana na wivu wa mapenzi.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Mark Kalunguyeye, tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika hosteli za chuo hicho zilizopo Mabibo, jijini Dar es Salaam.

Kamanda Kalunguyeye amemtaja mtuhumiwa wa mauaji hayo kuwa ni Masamba Musiba (27) ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo hicho, ambacho ni sehemu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Amesema mauaji hayo yalitokea juzi saa 3:45 usiku baada ya Musiba kuingia chumbani kwa marehemu ambaye inadaiwa alikuwa mpenzi wake na kuanza kumshambulia kwa kisu.

Ameongeza kuwa baada ya marehemu kuanza kushambuliwa, alipiga kelele kuomba msaada na ndipo wanafunzi wenzake walipokwenda na kumkamata mtuhumiwa wakati akijaribu kukimbia.

Amesema kelele za marehemu, ndizo zilizowashtua wanafunzi wenzake.
Kamanda Kalunguyeye alifafanua kuwa marehemu alikimbizwa hospitali kupatiwa matibabu lakini alifia njiani.

Mtuhumiwa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.

Kwa upande wake, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala, amesema tukio la mauaji hayo ni la kwanza kutokea chuoni hapo.

Profesa Mukandala alisema tangu aanze kufanya kazi chuoni hapo kwa miaka mingi, hajawahi kushuhudia tukio la namna hiyo na kuongeza kuwa amesikitika kwa kuondokewa na mwananfunzi huyo.

Adhabu ya kifo isifutwe ili itumike kwa watu kama hawa papuchi tu unamtoa uhai mwenzio

Hii habari ni ya mwaka

Hii Habari ni ya mwaka 2009 hebu angalieni vizuri hilo jina la huyu dada...

Adhabu ya kifo isifutwe ili itumike kwa watu kama hawa papuchi tu unamtoa uhai mwenzio
Ni mpenzi wake lakini sababu inaweza isiwe papuch! af tambua kwamba sheria ni ngumu, ngumu, ngumu mno. hiyo kesi inaweza kuwa first degree murder au ghafra ikawa mauaji ya bila kukusudia. maelezo tu na ushahidi! unaweza shangaa kafungwa miaka mitano tu akatoka baada ya mwaka for good conduct.

Kuna tetesi kwamba mwanafunzi wa kike aishiye Mabibo hostel kauawa na mpenzi wake kwa kuchomwa kisu usiku huu. Pia mtuhumiwa kuuwa kapigwa sana na wanafunzi wenziwe. Ka inzi huko au wenye taarifa zaidi watuhabarishe zaidi.

Nawasilisha.

Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

Richard Makore

Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Elimu (Duce), jijini Dar es Salaam, Bertha Mwarabu (23), ameuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kuchomwa kisu kwenye titi na tumboni kwa kinachodaiwa ni kutokana na wivu wa mapenzi.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Mark Kalunguyeye, tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika hosteli za chuo hicho zilizopo Mabibo, jijini Dar es Salaam.

Kamanda Kalunguyeye alimtaja mtuhumiwa wa mauaji hayo kuwa ni Masamba Musiba (27) ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo hicho, ambacho ni sehemu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

Alisema mauaji hayo yalitokea juzi saa 3:45 usiku baada ya Musiba kuingia chumbani kwa marehemu ambaye inadaiwa alikuwa mpenzi wake na kuanza kumshambulia kwa kisu. Aliongeza kuwa baada ya marehemu kuanza kushambuliwa, alipiga kelele kuomba msaada na ndipo wanafunzi wenzake walipokwenda na kumkamata mtuhumiwa wakati akijaribu kukimbia.

Alisema kelele za marehemu, ndizo zilizowashtua wanafunzi wenzake.

Kamanda Kalunguyeye alifafanua kuwa marehemu alikimbizwa hospitali kupatiwa matibabu lakini alifia njiani.

Mtuhumiwa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.

Kwa upande wake, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala, alisema tukio la mauaji hayo ni la kwanza kutokea chuoni hapo.

Profesa Mukandala alisema tangu aanze kufanya kazi chuoni hapo kwa miaka mingi, hajawahi kushuhudia tukio la namna hiyo na kuongeza kuwa amesikitika kwa kuondokewa na mwananfunzi huyo.

Chanzo: Nipashe

Hili tukio ni la mwaka 2009

Back
Top Bottom