Mabibo Hostel: Mwanafunzi UDSM amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

sikumaanisha kwamba ni walikuwa watoto, ila baadhi ya watu wanakuwa na akili fupi ya kufikiri, wanafikiri wakati uliopo tu, hawafikiri wakati ujao utakuwa vp. Ndio maana nikasema akili za kitoto, maana mtoto huwa anafikiri wakati uliopo. Hivyo watu wote wanaoua wenzao kwa ajili ya mapenzi au wanajiua kwa ajili ya mapenzi mie huwa nawafanisha akili zao na mtoto.

Sidhani kama ni sahihi kuzi characterize akili za watu wazima wauao wapenzi wao kuwa ni sawa na za kitoto. Utalinganishaje akili ya muuaji aliyekusudia na akili ya mtoto ambaye usikute hana hata chembe ya wazo la kuondoa uhai wa binadamu mwingine? Huwatendei haki watoto namna hiyo.

Muuaji ni mtu mwenye akili ya kiuaji tu.
 
Lakini mambo kama haya yanatokea kila mara uraiani. Hayana umri wala jinsia wala social status.

Ya kumchoma mwanamke visu vinne? Sio kila sehemu. Kwa Tanzania maeneo hayo yanajulikana. I'm convinced kwamba huyo mvulana hana matatizo ya akili, ila tabia mbovu za kimwitu ya sehemu aliyokulia.
 
Sidhani kama ni sahihi kuzi characterize akili za watu wazima wauao wapenzi wao kuwa ni sawa na za kitoto. Utalinganishaje akili ya muuaji aliyekusudia na akili ya mtoto ambaye usikute hana hata chembe ya wazo la kuondoa uhai wa binadamu mwingine? Huwatendei haki watoto namna hiyo.

Muuaji ni mtu mwenye akili ya kiuaji tu.

AHsante mkuu umemaliza yote,Pretty nadhani umeelimika mpaka hapo.
 
Haipo kwenye kanuni yoyote, inawezekana kuwa pombe,bange,wivu au hasira. Ni kati ya matukio adimu ,moja kwa mia. Watu wanakataliwa kila siku, wadogo kwa wakubwa hata huko UKURYANI lakin hawauani.Mungu atunusuru na maamuzi ya namna hii. Uhai ndio kitu bora kuliko vyote. Poleni sana wafiwa.
 
And this was done by a person who supposedly loved her. Kweli duniani wa kumuamini 100% ni wewe mwenyewe.
 
And this was done by a person who supposedly loved her. Kweli duniani wa kumuamini 100% ni wewe mwenyewe.

Jambo lingine la kujifunza hapa ni kwamba si vyema (wala sio haki kwa mwenzio) kuanzisha uhusiano na mtu mwingine baada tu ya uhusiano wa zamani kuvunjika. Huku ndiko kuheshimu penzi, kama utaruhusu miezi miwili hivi ipite kwanza.
Kwa kuongezea, rebound relationships hazidumu.
 
Ndugu wengi hawajui hiyo kungoja lakini inategemea waliachanaje inawezekana waliachana kwa njia ile ya mpenzi mpya kupewa simu amtukane wa zamani au ampe kashfa ili aamini kweli wameachana na mambo kama hayo

hata hiyo unayosema wangoje muda hiyo inawezekana kwa wale walioachana kwa nia nzuri kwamba hawajaelewana vitu vidogo au hata vikubwa lakini wastaarabu wengi wanaachana kwa sababu fulani ameshapata na yule wa pili anajua alikuwa anamtafuta mbaya wake siku zote hii inajenga uadui
 
Nashindwa kuelewa hapa labda kuna kitu kingine tusichokijua, binafsi nishaachwa sana na mademu niliokuwa nawapenda, sijauwa mtu wala kurusha jiwe....Pia nishaacha mademu kibao na tunakuwa shwari naweza hata kumbushia nikipenda! Wanaume wapo kibao na wanawake wazuri wanazaliwa kila siku....! na wengine bado wana bikira....!
 
Masanilo, mazingira ya competition waliyokuwemo wapendanano hao yaweza kuwa tofauti sana na experience yako.
 
we must be very careful with people! mambo ya mapenz ndo yanaongoza kwa matukio ya vifo vya watu wengi. kaharibu future ya m2 na yeye mwenyewe!
KWA NIABA YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA 2NATOA POLE KWA WAFIWA WOTE
 
Hongera maana kama unayosema ni kweli which I believe is the case, umebarikiwa kuwa na self esteem na confidence ya kutosha kukuwezesha kupokea ukweli..( processing).Wengi wanashindwa ku overcome ego....hii ni hatari!
 
Masanilo, mazingira ya competition waliyokuwemo wapendanano hao yaweza kuwa tofauti sana na experience yako.

kweli kabisa! Yule Mkurya alikosa simile kwani baada ya kuchukulia kuachwa kuwa ni jambo la kawaida, yeye aliingiwa na aina ya inferiority complex mbele ya mtoto aliyempenda na leo hamtaki kachukua jamaa lingine. Mkurya alijiona mnyonge sana, duni, asiyemfikia tena mtoto wake ambaye bado anaendelea kudunda kwa furaha na vicheko akiwa jamaa lingine. Hasira ya unyonge na uduni ikampanda. Angweza kujinyonga kimsingi, lakini akili ikamtuma aende akamtende vibaya mpenzi wake ili wanaume wote wamkose! Akili ya ajabu. Kumbe si kwamba hakujua kuna warembo tele wanaoendelea kuzaliwa. Shida ni kwamba hakutaka kuondoa akili na "macho" yake kwa huyo aliyemwacha.
 
Inasikitisha sana habari hii, familia ya Bertha ipo katika majonzi makubwa sana wakati huu. Taifa limempoteza msomi huyu wa kike. Ule usemi usemao ukimuelimisha mwanamke, umeelimisha jamii nzima, umefifishwa na tukio hilo.

RIP Bertha!!!
 
we must be very careful with people! mambo ya mapenz ndo yanaongoza kwa matukio ya vifo vya watu wengi. kaharibu future ya m2 na yeye mwenyewe!
KWA NIABA YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA 2NATOA POLE KWA WAFIWA WOTE

Mkuu asante kwa uungwana wa kutoa pole, labda kuweka rekodi sawa tukio ni la Mabibo Hosteli UDSM siyo UDOM
 
Sidhani kama ni sahihi kuzi characterize akili za watu wazima wauao wapenzi wao kuwa ni sawa na za kitoto. Utalinganishaje akili ya muuaji aliyekusudia na akili ya mtoto ambaye usikute hana hata chembe ya wazo la kuondoa uhai wa binadamu mwingine? Huwatendei haki watoto namna hiyo.

Muuaji ni mtu mwenye akili ya kiuaji tu.
nadhani hukunielewa nina maana gani, sikusema akili ya mtoto ni ya kuondoa uhai, bali huyo muuaji hakufikiri future yake itakuwaje? Kwa kutofikiri future yake mie ndio nikamfanisha na mtoto. Nadhani umenipata.
 
Nilikuelewa vyema kabisa ila mfano au niseme mlinganisho wako wa muuaji mtu mzima na mtoto mdogo haukuwa mzuri.

Kusema kuwa huyo muuaji (mtu mzima) hakufikiria mustakabali wa maisha yake si sawa na siyo absolute isipokuwa labda akiwa na wazimu. Je kama mtu keshaamua kuwa liwalo na liwe na hana cha kupoteza na akaamua ni bora aondoe uhai wa mwingine (premeditated murder) utasema huyo hakufikiria mustakabali wake? I don't think so. Ni kwamba kafikiria, kapima mambo mengi na akaona ni bora aue.

Kwenye mauaji ya kukusudia mtu unakuwa umeangalia mengi na kupima mengi na ndio maana kuna wauaji wengine wanakuwa wameshapanga kabisa jinsi ya kukimbia mara tu wamalizapo shughuli yao. Mipango hiyo ni matokeo ya wao kutathmini maisha yao ya baadae yatakuwaje. Bad analogy Pretty...
 
Haya ni mapenzi ya kitoto. Ya nn hadi kumuua mwenzio kwa ajili ya mapenzi? Kwani wanawake wameisha hadi unaamua kuua. Sasa kakosa vyote chuo kakosa, jail ndio hiyo inamuita.

Una waonea watoto. Mapenzi ya kitoto siyo hivi. Mapenzi ya kitoto labda kudanganyana kwa chipsi na kuambiana mapenzi yatakua siri yenu lakini this is beyond utoto. Najua maybe ulikua na nia nzuri bt ku characterize kitendo hiki kama utoto is letting the guy go off easy & giving him an excuse he doesn't deserve. Haya ni mapenzi ya kikatili plain & simple.
 
nadhani hukunielewa nina maana gani, sikusema akili ya mtoto ni ya kuondoa uhai, bali huyo muuaji hakufikiri future yake itakuwaje? Kwa kutofikiri future yake mie ndio nikamfanisha na mtoto. Nadhani umenipata.

Sidhani kama haku fikiri kama usemavyo. Alichokifanya wasn't a spur of the moment action. Ali contemplate mauaji, aka chukua silaha, akaenda hostel kisha akaua. That is a calculated move na nina uhakika the guy knew the consequences of what he was doing.
 
Absolutely Mwanafalsafa1! Hiyo inaitwa premeditated murder. Mtu unapanga kabisa from beginning to end which means you have weighed everything including the consequences thereafter....
 
Back
Top Bottom