Yaani wewe hata haujui watu wanajadili nini hapa...ama unafanya makusudi kuongea ujinga usiohusiana na jambo lililoko mbele yako.
mkuu asante kwa kuja, pengine ukimwambia wewe ataelewa.
Na sina hakika kama hiyo 10% anayoizungumzia, anajua ni nini na iko katika misingi gani?