MwanaCHADEMA timiza wajibu kwa kuwaamsha waliolala

May 1, 2012
95
96
Kila m2 sasa ahakikishe anawasiliana na wazee,ndg na jamaa sehemu mbalimbali na hasa VIJIJINI ili nao waamke wajue UBAYA wa CCM hatimaye watafute CHAMA kingine na si CCM.Anzeni sasa mtaona jinsi kazi ilivyo rahisi kuikomboa nchi yetu.
 
Wala hata hahiitaji kumwambia mtu ccm yenyewe inawaonyesha kwa vitendo kwa ugumu wa maisha ulivyo sasa nadhani hakuna mtu ambae hajuti iwe aliyeipigia ccm kura na zaidi wale ambao hawakupiga kabisa kura, 2015 hakuna mtu atakaye kumbushwa kwenda kupiga kura kila mmoja atatoka mwenyewe kwenda kumkataa nduli ccm
 
Back
Top Bottom