Mwanaasha aanza kidato cha tano

Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 27,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.

Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Anatafutiwa u spika wa bunge la Tanzania. Huu ni zaidi ya upumbavu!
 
Back
Top Bottom