Mwanaasha aanza kidato cha tano

Fikiria kama angekuwa mtoto wako amepata div iv. Ungemsaidiaje !!! Tusiwakatishe tamaa na matumaini watoto. Huyo binti mwacheni asome !!!! Mbona kulikuwa na mijadala na wenyey kupata ujauzito wapate fursa mbadala za kusoma !!!!
 
Dr. Ndalichako, ona sasa mtoto wa watu bado anaandamwa. KISA ni kutoa matokeo ya mitihani kwa kutumia majina ya watoto wetu, badili mfumo.
Acha kuficha maradhi halafu kifo ndio kikuumbue. We unafikiri baada ya Mwanaasha kuonekana live atafanya mchezo tena. Huenda form six akawa among the best students. Transparency ndio dili, huna akili tukuone na kukukosoa, unazo tukuone na kukusifia
 
Sidhani kama kauli yako ni sahihi. Matokeo ya mitihani ni siri ya mtahiniwa, hivyo hakuna cha transparency kwenye private affirs za mtu. Najua tumezoea from time immemorial kutoa hadharani matokeo ya mitihani ya watahiniwa.
This needs a court injunction to restrain NECTA from making public exam results
 
Mimi nadhani huyu mtoto aache kujadiliwa. Chuki yetu kwa watawala wabovu tusiwaingize watoto wao ambao wako mbali na mambo ya uendeshaji wa nchi wala hawana habari na ufisadi wowote zaidi ya kuwa shule. Tuwape uhuru wa kujisomea na kuwa raia wema hapo baadae.
Ila wale wakengefu kama Riz na wengine wanaotumia majina na vyeo vya wazazi wao kujiingiza kwenye siasa,ufisadi na biashara chafu,hao twende nao sambamba bila kuwaonea aibu.
Mwanaasha na the like tuachane nao tafadhali.
 
mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,

div 4 ya point 27 ana credit zote? Wewe ulisoma kweli? Kwani kunaulazima wowote wa kuchangia hapa JF kama huna la kuandika? Usijaze uzi kama huna la msingi la kuandika hata kusoma post za wenzako zenye mchango inatosha.
 
Tuwapele na wa kwetu wenye ufaulu kama huo hai school wakikataa tuweke reference. mwaka wa neema huu.
 
jamani kidato cha tano si wanaanza masomo mwezi wa saba au siku hizi system imebadilika?
 
CIV-D
HIST-F
GEO-D
KISW-D
ENGL-C
LIT ENG-D
BIO-C
B/MATH-F
COMM-F

Anasoma combination gani?
 
jamani kidato cha tano si wanaanza masomo mwezi wa saba au siku hizi system imebadilika?

kidato cha tano wanaanza masomo mwezi wa nne mpaka wa tano ila hata wa sita wanapokelewa, ila wa saba ni mbali mno na wanakuwa wameshaanza mitihani ya muhula wa kwanza. Kwa shule binafsi wanaanza mwezi wa tatu.
 
Mimi nadhani huyu mtoto aache kujadiliwa. Chuki yetu kwa watawala wabovu tusiwaingize watoto wao ambao wako mbali na mambo ya uendeshaji wa nchi wala hawana habari na ufisadi wowote zaidi ya kuwa shule. Tuwape uhuru wa kujisomea na kuwa raia wema hapo baadae.
Ila wale wakengefu kama Riz na wengine wanaotumia majina na vyeo vya wazazi wao kujiingiza kwenye siasa,ufisadi na biashara chafu,hao twende nao sambamba bila kuwaonea aibu.
Mwanaasha na the like tuachane nao tafadhali.
Well said chakaza!
 
Wana jamvi mi kwa mtazamo wangu naona si vyema kumfanya huyu binti kuwa subject matter hapa jf.naamini hata yeye anaumia sana kuongelewa hvi kisa makosa ya baba yake,by so doing we are inflicting pain to a mere tanzanian citizen who is also a victim of ths situation.huyu mtoto has nothing to do na madudu anayofanya baba yake.lets leave her a lone!
 
kuna thread flani wanajf walikuwa wanalalamika watoto wa kahaba wamepigwa picha na kutolewa magazetini. Wameongea sana kuponda hicho kitendo wakidai watoto wataathirika kisaikoloji ila kwa mwanaasha hawalioni hilo. Mi nafikiri mods wafunge thread zinazohusiana na huyu mtoto.
 
Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 30,akiwa na C moja,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...
Kuleta habari hii hapa jf ni ukarume kenge,leta chanzo wazi cha taarifa yako hii bac,hata hivyo kabint sio public figure kakutaka watu wakajadili kihivyo!..mbona ni issue ya kawaida mtu kukosa credit na kujiunga na kidato cah tano huku akitafuta credit.Unadhan familia yake wameshindwa kumpeleka Ulaya akarudi na masterz Bongo?...Mwacheni binti na maisha yake.
 
Well said chakaza!

wote ni walewale. Wanatunyanyasaga sana na majina ya baba zao. Wanaletwa na magari ya serikali, wanaajiri wanafunzi wenzao kuwafulia nguo,wanafanya fujo kwa kutegemea walimu watawaogopa. Wakifika juu ndo hawa kina riz 1,fred,nchimbi, nk. Yaani hizi familia za viongozi limbukeni wa nchi hii ni shida tupu,hata wake zao wanawehuka. Niliwahi kupanda shabiby kutoka dom tulipofika kituo cha mafuta cha kutokea stendi wakawa wanapakia mzigo,wakakamatwa na trafiki. Kuna mama akashuka na kuanza kumfokea trafic kwamba kwa nini anatuchelewesha? Unajua mimi ni mke wa mbunge? Unataka kufukuzwa kazi? Sie tukaanza kujiuliza,ina maana huyu mama kafurahia hawa jamaa wanavyovunja sheria? Ni ulimbukeni wa kujiona naye mbunge anataka tujue?
 
Inaezekana hii ikawa sababu kwanini waheshimiwa wanasomesha watoto ao nje....to keep privacy....kwa heshima ya mkuu kumsomesha mwanae ndani ya nchi bac tuyaache maisha yake binafci yawe private as long as hayaingilii intrests za nchi...ni mawazo tuu co kwamba nipo ccm au laa!!
 
mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
Crediti zote ziko wapi hapa? Unazijua Credit wewe? Atakwendaje V bila kupiga supplimentary hapa? Acha mambo yako!!!

S0298/0025​

F​

MWANAASHA JAKAYA KIKWETE

27​

IV​

CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F​
 
Back
Top Bottom