Mwanaasha aanza kidato cha tano

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 27, mtoto wa Mkuu wa Kaya, Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.

Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii. More to come...

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 30,akiwa na C moja,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...

Mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
 
Hilo mimi nampongeza presidaa wetu angetaka huyo binti wake angekuwa anasoma nje toka akiwa chekechea, pia presidaa kesha ona mfumo wa kusomesha watoto ng'ambo wakiwa bado wadogo wanakosa malezi bora na kuingia katika tabia za ajabu kwa kuiga tabia na mila za ugenini, tukumbuke watoto ni hodari wa kuiga chochote wakionache mbale yao.

Kwa uzoefu tu nimeona watoto wengi walioenda kusoma nje wakiwa bila ya wazazi wao wakijuhusisha katika mambo yasiyofaa na pia kuwa na tabia zinazokosa staha mbele ya tamaduni na mila zetu, mwacheni Mwanaasha asome na nafikiri kapata changamoto hatawaangusha wazazi wake pia.

Mtoto wa presidaa si sawa na mtoto wa kabwela hata afeli mtihani baado njia yake haitakuwa na mabonde.
 
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!

Acha upuuzi wewe, kwani wewe hujawahi kwenda Bar ukahudumiwa na huyo muhudumu au hujawahi kukodi Taxi na ukaendeshwa na Dereva?

Acha kukashifu kazi za watu wewe mwenyewe unasema na financial Analysit ina maana huwa hutoi services kwa watu wanaoihitaji services kutoka kwako?
 
kudharau kazi za wenzio haifai......

Umeajiwa kumtetea jk na familia yake au ni ukenge tu unajusumbua

Acha kudharau kazi za wenzako. Hivi wewe unafanya kazi gani, ukiitaja tutakwambia jinsi kazi yako hiyo ilivyo ya hovyo. Usidharau mwenzako

acha upuuzi wewe, kwani wewe hujawahi kwenda Bar ukahudumiwa na huyo muhudumu au hujawahi kukodi Taxi na ukaendeshwa na Dereva?
Acha kukashifu kazi za watu wewe mwenyewe unasema na financial Analysit ina maana huwa hutoi services kwa watu wanaoihitaji services kutoka kwako?

:iamwithstupid::closed_2::angry::ban::focus:
 
hilo mi nampongeza presidaa wetu angetaka huyo binti wake angekuwa anasoma nje toka akiwa chekechea,pia presidaa kesha ona mfumo wa kusomesha watoto ng'ambo wakiwa bado wadogo wanakosa malezi bora na kuingia katika tabia za ajabu kwa kuiga tabia na mila za ugenini ,tukumbuke watoto ni hodari wa kuiga chochote wakionache mbale yao,kwa uzoefu tu nimeona watoto wengi walioenda kusoma nje wakiwa bila ya wazazi wao wakijuhusisha katika mambo yasiyofaa na pia kuwa na tabia zinazokosa staha mbele ya tamaduni na mila zetu,mwacheni Mwanaasha asome na nafikiri kapata changamoto hatawaangusha wazazi wake pia.Mtoto wa presidaa si sawa na mtoto wa kabwela hata afeli mtihani baado njia yake haitakuwa na mabonde




LIKE, Like, Like
 
Kwani mtu ukifeli kidato cha nne mara ya kwanza ndo umefeli kabisa? We have to encourage those that did not do well to fight hard and make it...Mwanaasha including.

Namfahamu jamaa alikuwa hayupo serious shule alipata div four na C mbili moja ya physics na moja ya maths alirudia somo moja tu akapata C nyingine six akapiga div 1 ya point 3 PCM, chuo akaachana na sayansi akapiga biashara akapiga first class ya BBA jamaa amemaliza masters ya ya finance na ana CPA.

Wengi waliofeli form four ni kwasababu ya kutokuwa makini na kutojali na wanajuta na kutamani warudi tena shuleni lakini hakuna tena time.
 
Back
Top Bottom