Mwana mpotevu nimerudi..............mnipokee

mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,422
1,790
Hi Wanachama!!!

Mimi nilikuwa pamoja nanyi muda mrefu umepita. Kwenye mwaka 2006. baada ya kupotea kwa muda mrefu nilisahau Address ya kuingia katika ukurasa huu.

Mungu mkubwa leo nimefanikiwa kuipata hii kurasa. Nimefurahi sana.

Naomba Mnipokee wajameni!!!!!!!!!!!!!!

INANIUMA SANA!!!

MIZAMBWA
 
Tulikuwa pamoja mwaka 2008, baadaye nikapotea kidogo. Niliporudi nikasahau na Adddress ya kuingia ukurasa huu.

bahati leo nimeipata.

Naomba Mnipokee tena

INANIUMA SANA!!!
MIZAMBWA
 
Nini kilikufanya urudi tena? Ulimic maujanja nn mpendwa? Anyway karibu hadi chumbani!
 
Hi members

Maisha ya mjini yalinishinda, niliamua kurudi kijijini. Sas huko hata umeme hakuna, Computers hakuna. ndio miaka 50 ya Uhuru Tanzania. Mambo kama haya ya mtandao yapo mijini tu.

Kumbe na maisha mazuri nimegundua yapo mijini tu. KWani kijijini sasa hivi hata Sukari ni Tsh. 3,500/= Ndio miaka 50 ya Uuuru Tanzania. Mawasiliano ya Simu kule kwetu Morogoro hadi upande juu ya Mlima ndipo uongee. Ndio miaka 50 ya Uhuru Tanzania. Kilimo chenyewe nilichofikiri kitanitoa kumbe ni jembe la mkono hata matrekta hakuna na pia barabara ya kupitisha trekta hakuna. ndio miaka 50 ya uhuru Tanzania.

Nikagundua kumbe ndio maana Waluguru wengi tumehamia Mijini kufanya biashara ya kuuza bidhaa Sokoni. Kule kijijini tumewaacha Wazee tu.

maisha ni magumu sana huko. Hivyo Mimi Sirudi Kijijini!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA.
 
Karibu sana ,ila isijekuwa umeacha mke na watoto kijijini baada ya kuuza mazao sasa unasingizia miaka 50 ya uhuru...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom