Mwana mpotevu mpokeeni jamani

Mallaba

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
2,554
47
salaam wana JF,
Imekuwa ni mda mrefu sana tangu nilipotoka sasa zidi ya miezi 6 vile, nilikuwa nimetoka kwenda nchi za mbali kwa masuala ya hapa na pale.
Sio siri nimekuwa nikiwakumbuka sana, ila kwa sababu ya kukosa mda na majukumu mengi ya huko nilikokuwa sikuweza kuonekana.
Natumaini mtanipokea.
Natanguliza shukrani!
 
Karibu, naona umekuja kudai urithi wako.
Hivi ulijuaje? Nilifikiria sana na kona kuwa nisiporudi basi kila kitu nitapoteza,,lol Huyo qeen mzima lakini naona unamwanggalia kwa hamasa sana
 
karibu sana! Kwan huko hakukuwa na internet networks? Pozi hizo!
Tatizo sio internet bali ni mda wenyewe, nilikuwa na majukumu ambayo yalikuwa yanazidi uwezo. Nadhani umenipata mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom