Mwana JF Yeyote wa Lindi

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Nakuja huko kesho ndugu zangu, kama kuna mwana JF yeyote anayeishi maeneo hayo, Lindi mjini mpaka Ruangwa,, nitakuwepo huko kwa muda wa siku kadhaa kama nne hivi.
 
Go and enjoy your time. Kwanza kule sidhani kama kuna internet access. Jamaa yetu wa maeneo jirani na huko alipotoka madarakani alihamia lushoto kwa kuwa huko hakuna anachotaka. Alikimbia kuombwa mahitaji na majirani. Ila ni shemejio kumbuka. Nenda 2
 
Hahahaha sema yeye wa masasi...kuna internet jaman huoni nakomenti jffffff
 
Haha karibu sana utanikuta hapa oceanic hotel (the new lindi beach resort) napunga upepo
 
Nakuja huko kesho ndugu zangu, kama kuna mwana JF yeyote anayeishi maeneo hayo, Lindi mjini mpaka Ruangwa,, nitakuwepo huko kwa muda wa siku kadhaa kama nne hivi.

Facebook ndiyo rahisi, maana profile zimeandikwa hadi mahala wanapotoka.
 
Nakuja huko kesho ndugu
zangu, kama kuna mwana JF yeyote anayeishi maeneo hayo, Lindi mjini
mpaka Ruangwa,, nitakuwepo huko kwa muda wa siku kadhaa kama nne
hivi.

Ukifika Lindi mjini fikia Shirton Lodge, Ruangwa fikia Shamsi Guest.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom