Mwana JF anusurika kifo

Dah, sad news indeed. Namwombea apone haraka, kila kitu kirejee salama tumwone tena jamvini!
 
I went to see him jana; he looked okay, operesheni was a success!

He's a trong chap!
Inafurahisha kuona wana JF mnatafutana hata wakati wa shida. Inafariji, safi sana mkuu. Ukienda kumwona next time tuwasiliane mkuu tuweze nasi kutuma mtu amwone na kumjulia hali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom