Mwana JF aaga dunia!

Status
Not open for further replies.
Poleni sana kwa msiba familia ya marehemu na familia ya JF wote. Kifo ni ushahidi kuwa duniani tunapita na maisha yetu ni mafupi sana. Haijalishi tunaishi muda gani lakini ni muhimu sana kuishi katika namna inayofanyika baraka kwa wengine. yale mema tuliyoyatenda hapa duniani yatatufanya tuendelee kuishi kwenye mioyo ya watu walio hai.
 
..pole nyingi ziwafikie mume wa marehemu na wapendwa wote..tunafahamu namna mnavyojisikia ..tunaungana na nyinyi kuendelea kumuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu!!!

.."najua tulimpenda lakini Bwana alimpenda zaidi...jina la BWANA lihimidiwe!!!"
 
Mungu awafute na kuwapa ujasiri ndugu wa marehemu kwani hii ni safari ya kila mmoja wetu,Roho yake ipate rehema za Mwenyeze Mungu..Amina.
 
Poleni wafiwa kwa msiba mzito mungu mlaze mahali pema peponi
wana JF

hii thread ni ya 2008, halafu dinnah kaja kutoa pole leo.. simuelewi na pia siwalewi

tusome trend ya thread

au kuna mwingine kafa leo?? au ni muendelezo wa maombolezo three years down the road??
 
Na mie nimestuka kweli,au hawajasoma tarehe?????
wana JF

hii thread ni ya 2008, halafu dinnah kaja kutoa pole leo.. simuelewi na pia siwalewi

tusome trend ya thread

au kuna mwingine kafa leo?? au ni muendelezo wa maombolezo three years down the road??
 
Tangulia ndugu yetu, kifo ni chetu sote.. Ipo siku tutaungana tena
 
Du!. Hata mimi nimefungua kwa mshtuko kuona tarehe ya thread start nijua labda kuna new developmet!.
 
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema.Mwenyezi mungu awatie nguvu jamaa wote wa marehemu katika kipindi hiki kigumu.Amen
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom