Mwana jamii mwenzangu tunajifunza nii hapa???

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
35708_135394513150379_100000394947153_239863_6481539_n.jpg
 
This is so unfair, dudes..! Curious enough, baadhi ya wanawake hawapendi kunyonyesha watoto wao kwa madai kwamba boobs zitadondoka, sasa zikinyonywa kwa style hii sijui hakuna athari...?
 
This is so unfair, dudes..! Curious enough, baadhi ya wanawake hawapendi kunyonyesha watoto wao kwa madai kwamba boobs zitadondoka, sasa zikinyonywa kwa style hii sijui hakuna athari...?

mwanamke anawakilisha nchi, mwanamume anawakilisha serikali , mtoto anawakilisha wananchi na yule kibibi ni upinzani.
 
Na mume nae kuwa mjinga na kubaki kuwa *****! Au huyo bwana ni mteja na humo ndani ni danguro!
 
Hivi hayo ni ya maziwa anapewa mtoto ni ya unga/ ng'ombe au huyo mama amekamua, kwani siku hizi hapa bongo wanawake wanafanya hivyo?

tena maziwa yenyewe nadhani ni Nan # 2 ambayo imezuiwa ..badala mtoto apate maziwa ya mama yenye afya na vitamini zoooote :confused2:
 
Ni njia mojawapo ya kuamsha stimu.
Hapa tunajifunza mwanaume kwanza mtoto baadae.
 
Back
Top Bottom