Mwana Fa awasaliti wasanii wenzake kwa Millioni 30

Hawa jamaa ni wahuni tu. Fa kawazidi kielimu, hizo ni chuki binafsi.

Acheni umbeya.

unaweza kua na elimu na ukawa boya na tutamzomea jukwaani na hata njiani kama anaelimu si awakomboe wasanii wenzake
 
mwana fa ni snitch tu ameiua east coast team amepewa cheo cha ukurugenzi wa kampuni ya wasanii wa clouds na sasa anaambiwa na ruge apambane na wasanii wanaharakati na hatoweza huyu jamaa anategemea elimu yake na sio mziki so anatumia nafasi hiyo kuwakandamiza wenzake wafe njaa how come msanii ulipwe laki 1. Wasanii wataendelea kukodi magari ya shouting hadi lini ni muda wa kuwakomboa wasanii sasa 26/11 ustawi wa jamii bamaga
Kama mmoja anaondoka na team inakufa............... hiyo haikuwa team bali mwanaFA na AY East Coast Team
 
Hivi nyie mko ulimwengu gani? Hamjui kua muziki ni biashara? Hata kama Mwana FA amepewa hiyo milioni 30 tatizo ni nini? Achana na mawazo mgando muziki ni biashara kama biashara nyingine. Sugu nae kazidi kulalamika, kama ameishiwa mashairi aachie fani. Pia inabidi asome ishara za nyakati muziki wa kufoka (anaoimba) mashabiki wake wengi ni watu wasio na hela-wahuni wahuni tu, so nivigumu muziki huo kumlipa. Ruge na clouds wamejitahidi sana kuinua muziki wa kizazi kipya. Acheni wivu. Kama wasanii wanaona wannyonywa they should "delink"kwani wanalazimishwa? Amkeni ndugu, tuko kwenye "capitalism" kwahiyo mtu akiwekeza lazima a-maximaze profit! waache wakina Ruge wamaximaze profit like many other capitalists. Mbona nchi yetu inanyonywa na mabepari mko kimya? Mbona nyinyi mnawanyonya housemaids na houseboys amjalisema hilo. Je mnawalipa mshaara kulingana na masaa wanayofanya kazi? So "don't mend your neighbour's fence before looking your own"!
 
according na Sugu na kundi lake linalijiita VINEGA wamemshutumu msanii wa Kizazi kipya Mwan Fa kuwa amewauza na kuchukua mill 30 toka kwa ruge mutahaba ili awasaliti na kujiunga na Tfu
kwa maelezo zaidi chech
hii
link

JOSEPH MBILINYI SUGU AKIONGELEA MWANA FA NA RUGE SIKU YA BASATA www.swahilioriginaltz.com - YouTube



hawa jamaa wote VILAZA hakuna anayemfikia FA .... FA ni kichwa kingine kile ... kwanza anapozungumzia kawatosa wasanii wenzake wasanii gani.... FA hada beef na kina fid q wala prof jay wala msanii yoyote ... ila kina sugu ndio wanajaribu kutafuta beef ili wapate umaarufu kupitia mgongo wa FA ...

nakumbuka inspekta alijibu nyimbo ya FA bado niponipo alidhani FA atamjibu hehe! FA akamchunia jamaa akapotea sasa hivi kaibukia vinega ya kina sugu....

VINEGA they are all just low life loosers wanaodhani hiphop ni matusi na ku diss ...


 
Kwa hiyo anawawakilisha wapiga kura yake kwa yale matusi ya kiingereza cha kuunga unga......'ananchekesha'

Yaani dada uandishi wako ni "copy right" na wa bibi mmoja hivi humu wanamuitaga Faiz..sijui,
Mnafanana sana kweli, ni ndugu yako??
 


From the 2:30 mark...Sugu's language is unbecoming to a public official/ MP.
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo kile wanakiita copyright na mauzo kibongobongo hicho kitu hakipo kwa kuwa kuna mtu mnamfaidisha kwa jasho lenu nyinyi wasanii mkae kimya mi naona hapo hamjafikiria vizuri kwa nini nchi kama uganda wasanii wanamaendeleo kuliko bongo?

kikubwa hapa ni kuwa wamoja na kupigania maendeleo ya wasanii kuliko kutengana ndio maana wananyonywa mi naona kama wangekuwa wa moja hakuna hajayakulalamika sababu nia yenu yote ni moja kitu chengine kinacho nishangaza kwa nini clouds na wao wale kina dmx siku ya kina sugu wanashow mi nasema wao wanamawazo mgando ndio maana wanafanya hivyo.

mziki ndio umempeleka sugu bungeni kwa hiyo ni lazima atimize alichoagizwa na wasanii wanaopenda maendeleo ya muziki.
 
humu ndani bwana.watu wanashindwa kutofautisha kuelimika na kuwa na vyeti!kama alinunua mitihani?
 
Mimi sio mshabiki wa Ruge hata kidogo hasa nikiangalia jinsi alivyomnyonya dada yangu Saida Kaloli (aka Maria Salome), yule dada alifanya mziki wa kiwango cha level ya juu kabisa kitaifa lakini aliishia wapi?

Kuna Watu wa kabila lake na makabila mengine ya ki-Tanzania walioko nje waliutumia mziki ule kama utambulisho wa taifa letu, lakini sina uhakika kama alipata hata kibanda.

Lakini approach waliyoichukua Sugu na wenzake ni na ya kichochezi, jamaa matusi nje nje; utasikia maneno kama "Fu<k Ruge, Ruge ni Kvma nk..." Sio sahihi na jamii itawaona kama sio wapambanaji wa kweli bali ni loosers, wafa maji wanaotapatapa. Tusiuunge mkono huu utaratibu.
 
Wasanii kama Juma Nature,Prof J,Mr Blue,Duly Sykes na wengineo walitakiwa wawe mabilionea lakini wanyonyaji wamewabana sana
 
Back
Top Bottom