Mwana FA amchana Sugu

Status
Not open for further replies.
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm

umetakiwa uje jf ukanushe aliyosema sugu siyo kutafuta watu na kuwaita kwenye radio 'yako' na kuwalazimisha utakavyo wewe
HUO NI WOGA NA UNAFIKI kama sugu mwongo njo jamvini jieleze

Anti-virus inawauma sn clouds,leo wameipiga asbh kwny power breakfast lakn waliedit some parts!this episode wl never end. Sugu n ruge.

Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
Clouds fm kwangu sio credible source. Na huyu unayemzungumzia ni mwanafalsafa ya nini coz nimesoma falsafa za Hart, Cicero, John Austin,St. Thomas Aquinas na wengine wengi, Sasa huyu aliyemjibu Sugu ni nani sijawai kusoma falsafa zake.

Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm

Ila mbona wakati anaojiwa Radio Frence ya kiswahili alimuunga mkono Mh Sugu iweje leo kupitia Cloudz ndo aanze kupepeta maneno. So hana jipya mpotezee.

Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm

huyu ni msaliti. Alipokuwa Uk akifanya masters alibebwa sana na Sugu. Hana shukrani muislamu huyu asiyefunga na anayegonga kitimoto.

Hivi mwanafalsafa si ndio yule alieimba kwamba yupo yupo hawezi kuoa labda kuolewa?, kwanza huyu sio saizi ya Sugu kimawazo wala kimtazamo!, ni wale ambao masanja mkandamizaji anawaita kwamba sio wanaume bali ni "wakiume".

Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
Unaendana na avator yako,inaonekana wewe jambazi maana sura inajitosheleza

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom