Mwana FA amchana Sugu

Status
Not open for further replies.
hao clouds ndio waacha kutumia wasanii kny mabifu yao........hapo mwana FA anatumiwa tu ionekane ana bifu na sugu....na kila mtu anamchukia sugu ilhali sio kweli,clouds wanaplay devil kwa kumtumia mwana FA kama shield kwenye magomvi yao na sugu!...sugu we are behind you 100%!
 
Sugu amewaumiza sana Clouds wanahaha kila kukicha kujisafisha lakini ndo hivyo tena maji yakisha mwagika hayazoleki.
Wangekuwa wana busara wangenyamaza kuliko wanavyo fanya sasa kujisafisha kwa kila ghalama sitoshangaa wakamleta Bi Kidude au Mzee Yusuf amponde Sugu ili wao watakasike.
 
kiukweli Sugu ni mkali mbaya kwenye mistari(hiphop) na mm binafsi namkubali sana.
Ila nashangaa sana sijui kwa nn wasanii na mashabiki wanamgwaya , inawezekana jamaa ana GUNDU ni vyema
aende akasafishe nyota hiyo! badala ya kuwa na jazba kila mara.

"MAISHA POPOTE"
 
Wewe nae Mwita umezidi kila wakati sugu suguu suguuu banaee toa hilo jina la Mwita manake wakurya hawana tabia za majungu majungu kujadili watu ovyo...watu wana kazi za kufanya nchi hii sio kuongelea suguuuu wewe unaharibu kujiita Mwita!!! hili jina la Tarime wewe sio wa nyumbani kabisa...loh kila wakati sugu tumechoka sasa
 
wewe ufuasi wa CDM na CCM unakujaje hapa?

Kwani ugomvi wa JF na Clouds source yake nini? Ninyi si mnataka tuwe tunaambiana ukweli? Mezeni huu ukweli si wote wataiunga mkono CDM hata kama mtatumia mitandao yote duniani kuwatukana.
 
Sugu amewaumiza sana Clouds wanahaha kila kukicha kujisafisha lakini ndo hivyo tena maji yakisha mwagika hayazoleki.
Wangekuwa wana busara wangenyamaza kuliko wanavyo fanya sasa kujisafisha kwa kila ghalama sitoshangaa wakamleta Bi Kidude au Mzee Yusuf amponde Sugu ili wao watakasike.

Clouds kwa kiasi kikubwa inaendeshwa na matangazo ya biashara. Sasa wewe unajua kama wadhamini wa vipindi wameondoa udhamini wao? Au unazungumzia kuumizwa gani?
 
Njaa mbaya Pole mwanaFA

N
images

MtotoFA NJAAAAA
 
Msanii Mwanafalsafa naye ameungana na Ruge kumchana mbunge Sugu. Huyu mbunge sasa kila mtu anamwona hamna kitu, hivi ataishije kama kila mtu anamwona ''wa hivi hivi.'' source: Clouds Fm
badilisha avatar basi uweke ya kike manake unavyohangaika kumsafisha ruge utadhani anakuhemeaga
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Clouds kwa kiasi kikubwa inaendeshwa na matangazo ya biashara. Sasa wewe unajua kama wadhamini wa vipindi wameondoa udhamini wao? Au unazungumzia kuumizwa gani?
tupe statistics na source yake
as i remember R1 ndio kinara 2009
and Star tv 2009
Clouds wanajiendesha kwa dhuluma wanazowafanyia wasanii na kujikomba kwa mkuu wa kaya mh.JK
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom