mwana chitchat tusipoteze zawadi hii,....tujitahidi sana

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
wasalaamu,

kutokana na mashindano ya kumsaka miss chitchat naomba kura zenu kwa Arabela
images

nipochinii ya miguu yenu,naomba sana
 
kila mshiriki atakula kwa nguvu zake, kama akibebwa anajishikiria usihofu chaliiiiii yangu vinginevyo imekula kwake.
 
naona umeanza kuandaa mazingira ya corruption ni sawa na mama Salma Kikwete kumkampenia mumewe lol huna kampeni meneja?,PCCB where are you:eek:hwell:
 
Hiyo mikono mbona ni mitupu? Hujui kwamba mikono mitupu hailambwi?
 
Back
Top Bottom