Mwamvita Makamba aula

wadau Mwamvita chini ya md aliyepita, dietlof mare alikuwa na influence kubwa sana ndani ya voda, wengine wanasema ilifikia sasa wakawa na uhusiano wa kimapenzi, mwamvita ndo alikuwa km msemaji mkuu, event organiser, hata wale walioajiriwa kwa kazi hiyo walifunikwa, kuna tetesi za ufisadi vile vile kwamba miss tz ilikuwa ikuwa half ya cost iliyokuwa inatajwa lkn dada alipiga nusu nyingine. Kaja md mpya chini ya maagizo ya Vodafone kaona influence ya dada ni kubwa, wenzetu wana akili sana ili wasiharibu kwa kumtoa pale kavukavu, wanampeleke sauzi huko atajikuta hana hata kazi maalum atakaa kwa period flani baadaye mwenyewe anaweza akasepa akaona hapafai. So hiyo ni njia ya kumuengua kijanja
 
Hiki kiingereza kama huna uhakika na uandikacho andika kiswahili chetu tuu. DULLY=BORINGLY, UNINTERESTINGLY, MONOTONOUSLY....

Kwa hiyo kama ulimaanisha jema, maana yako imepotea katika kudhania utamkacho na kuandikwa ni hivyo hivyo...

Amekosea kidogo tu jamani vidole vikachapa "l" mara 2. He/she meant "duly". Ukielewa unamezea au unasahihisha bila maneno makali.
 
Huyu waziri mkuu kumbe ana mda wa kupoteza hivi mbona hatumii huu mda kukutana na madr na walimu.je mimi nikihamisha mghahawa wangu toka arusha kwenda singida nitaruhusiwa kwenda kumwahaga?
 
Family ya mzee makamba ipo blessed na vichwa.. bro wake January ni mchapa kazi.. yeye ndo hivo makao makuu... Mnaohoji kaenda kufanya nini kwa waziri mkuu!? Amekwenda kama mtanzania...

Hongera da mwamvita makamba.. mi nitahitaji unipangishe lile jumba lako..
 
Hongera sana!! katuwakilishe vizuri na usiwasahau watanzania wenzako kama panatokea nafasi za kazi ambazo unaona kuna watakao fit. Tatizo la sisi watanzia tunapopata nafasi za kazi nje tunapenda kuonekana kwenye jamii kuwa tunaishi nje hatusaidiani wenyewe kwa wenyewe,wenzetu wa West Africa au Kenya ni wataalam sana kwenye kusaidiana. Jaribu kuangalia idadi yao mf kwenye UN organisations wamejazana kibao.
 
wadau Mwamvita chini ya md aliyepita, dietlof mare alikuwa na influence kubwa sana ndani ya voda, wengine wanasema ilifikia sasa wakawa na uhusiano wa kimapenzi, mwamvita ndo alikuwa km msemaji mkuu, event organiser, hata wale walioajiriwa kwa kazi hiyo walifunikwa, kuna tetesi za ufisadi vile vile kwamba miss tz ilikuwa ikuwa half ya cost iliyokuwa inatajwa lkn dada alipiga nusu nyingine. Kaja md mpya chini ya maagizo ya Vodafone kaona influence ya dada ni kubwa, wenzetu wana akili sana ili wasiharibu kwa kumtoa pale kavukavu, wanampeleke sauzi huko atajikuta hana hata kazi maalum atakaa kwa period flani baadaye mwenyewe anaweza akasepa akaona hapafai. So hiyo ni njia ya kumuengua kijanja

Chimunguru wewe upo sawa kabisa wanaJF wengi wameshindwa kungamua kilichopo nyuma ya pazia ukweli ni kuwa Vodacom inafanya mabadiliko na kunawengine wanaombwa mikataba isitishwe kwa makubaliano na mwamvita kwa nature ya familia yake si vizuri kumsitishia kazi kwa mkataba. jamabo la kujiuliza anaondoka kwa mbembwe lakini hataji post anayoenda kufanya. kwishney whites are always smart.

jambo jingine kaka waziri wa mawasiliano, dada director wa kampuni ya mawasiliano, jamani si conflict of interests.
 
HII MEZA KUJAA MAKOROKOCHO NDIO NINI? ORGANISED CHAOS?

mwam.jpg
 
Hongera Mwanvita. Unajua watu wengine hakuna jema kwao. Hata angesema babake yake ni Yusufu Makamba wengine wangehoji kwa nini awe Yusufu Makamba!!!!!!!!! Kumwaga Waziri Mkuu ni haki yake ya kikatiba. Na unatafuta kwa nini akamwage Waziri Mkuu mbona wewe huulizwi wale unaokwenda kuwaaga unaposafiri??? Kwani kumwaga Waziri Mkuu ni dhambi au jambo la ajabu?? Na ni nani aliyekuambia alienda kumwaga kama Waziri Mkuu, au hujui Waziri Mkuu ni cheo na sio nafasi katika jamii!!!!!!!!!! Ukipata safari na wewe nenda kamuage hutazuiwa!!!!!!!!!!
 
HII MEZA KUJAA MAKOROKOCHO NDIO NINI? ORGANISED CHAOS?

mwam.jpg

Pinda hana computer/lap top? hatumiwi/hatumi/haitaji email? Hizo simu zote za nini? why does he put his this demonic color while in Government office? let me check other questions.
 
Hongera Mwanvita. Unajua watu wengine hakuna jema kwao. Hata angesema babake yake ni Yusufu Makamba wengine wangehoji kwa nini awe Yusufu Makamba!!!!!!!!! Kumwaga Waziri Mkuu ni haki yake ya kikatiba. Na unatafuta kwa nini akamwage Waziri Mkuu mbona wewe huulizwi wale unaokwenda kuwaaga unaposafiri??? Kwani kumwaga Waziri Mkuu ni dhambi au jambo la ajabu?? Na ni nani aliyekuambia alienda kumwaga kama Waziri Mkuu, au hujui Waziri Mkuu ni cheo na sio nafasi katika jamii!!!!!!!!!! Ukipata safari na wewe nenda kamuage hutazuiwa!!!!!!!!!!

Phew..........
 
'Remember, no matter who you are, or where you come from, if you dare to dream, the world is truly your centre stage'-mwamvita.
Word sisy, dully noted madam.

It is easily said, she didn't some one helped her dream and pushed her up. That is the cheating Philosophy
of theavies they will say i started from point zero now am a billionair uongo tu.
 
Mwamvita anamuaga Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kama nani? Tusije shangaa dada yetu huyu anateuliwa kuwa mbunge huko mbeleni kisha kuwa waziri wa mambo ya nje, au hata pengine kuwa balozi wetu Afrika ya Kusini hapo baadae.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom