Mwamfahamu mtu huyu...???

Huyu kamzidi hata Chesko matunda wa Afrika Sana! Huyu anatakiwa aitwe PAPA MAVEJI aka Mbogamboga:).

Picha yako yanifanaya niawaze afya njena (kwa kukula wewe Vegwallah) hasa katika huu uzee wangu=more geens will make you live longer;-).

wewe sio mtu mzuri wewe!!!!!!
Wataka kumla mwenzio hivi hivii nasi tunaona.
Anyways Ulaji wa Vgetables ni afya kwa mlaji
 
Kwa wale wasionijua na wale ambao walikuwa na hamu ya kunifahamu huyu ndie Young Master orginal...wengine wote photocopy...!!! Mwenye swali au maoni anakaribishwa ila vigezo na masharti kuzingatiwa.

306464_406000046123291_950023605_n.jpg

Kumbe Young Master unaliwa? Ngoja niwaite wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho tuje tukukule kwa pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wasionijua na wale ambao walikuwa na hamu ya kunifahamu huyu ndie Young Master orginal...wengine wote photocopy...!!! Mwenye swali au maoni anakaribishwa ila vigezo na masharti kuzingatiwa.

306464_406000046123291_950023605_n.jpg
Mkuu nimeipenda sana, naomba uniruhusu niitumie kama avatar yangu.
 
Back
Top Bottom